Sweet relationship; Je, hili linawezekana?

Sweet relationship; Je, hili linawezekana?

Unakuta wapenzi mmoja ana nyota ya moto mwingine ya maji hata mkipishana kauli kidogo tu mnakua wepesi kusameheana mana moto na maji havipatani
Nishakaa 7 months bila ugomvi wowote,love is sweet kukiwa na vipindi vingi vya furaha kuliko magomvi

This is good aisee,,,7 months its alot mkuu means it is possible
 
umenikumbushaa mbali sana asee nilikuwa mpenz wangu tulikuwa hatujawai kugombna takriban miaka mitano hv coz mm na yy tulikuwa tukiishi mikoa tofautiii baadae tukuwa nakaa pamoja miaka miwili mbele visa vikaanza mpka tukaachana.
 
Kutogombana kabisa kwenye mahusiano sio rahisi ila inategemea na kiwango cha mikwaruzano hiyo na namna mlivyo wepesi kusawazisha....

Binafsi hua napenda tumalizane fasta,napenda nione muda mwingi nina amani na mwenzangu...
 
Ni vigumu sana mkuu labda kama hamuongei kabisaaa
 
Mimi ugomvi huwa unaanza pale anapoanza kuomba hela ndefu
 
Back
Top Bottom