hapana mkuu mnapogombana haimaanishi ni wagomvi sana hapana, bali inaprove nyie ni binadamu hamjakamilika.mbona watu mna mawazo neg sana,,y cant u kwa mfano usiwe optimistic,,u hope for the best!
ndohivyo boss kama umenielewa sawa.nimekuelewa mkuu
Kugombana ni kawaida sana,
kwangu tukiwa mbali mbali ndio magomvi hayaishi, wivu kwa sana na ile kukumbukana nayo huleta hasira,
Ila tukiwa karibu yani walaaaa inakua sweet sweet sweet relation.
It's possible kuishi bila ugomvi , if one of you is too deep in God .. Na both of you are faithful And committed on each other... Thanks..Habarini wanajamvi,
Kwanza niwashukuru kwa ushauri wenu wakati nimeleta uzi kwamba I am dating a girl ambae ana dini tofauti na yangu na kupitia michango yenu tulifanikiwa kupata suluhisho angalau la muda.
Kilichonileta leo humu ni kutaka kupata uzoefu au kubadilishana mawazo kuhusiana na trend ya this relatioship. Kwa kawaida huwa nikianzisha mahusiano at the begining huwa nakuwa so kind and calm na msichana huwa ananiona gentleman ila baada ya muda huwa nabadilika na kuwa sieleweki visa haviishi.
Kwa kuzingatia hilo, nafahamu kwamba mahusiano pale mwanzoni huwa yanakuwa so sweet mana hamjazoeana ingawa after some few months mambo yanabadilika. Kinachonishangaza this time ni kuwa tayari tuna miezi kadhaa na hatujawahi kugombana kabisaaaa! Yaani even a small quarrel zaidi nakumbuka kuna siku alichelewa kurud home nikamaind ila alivyonielezea what happened nikaona its ok (tunaish mikoa tofaut ila tunawasiliana muda mwng from asbh to jion na usiku huwa tunaongea).
So my concern ni kuwa, hivi ni kweli watu wanaweza kuishi kwenye mahusiano angalau 3-4 months bila kukwaruzana? Au ndo ile kila mmoja kaficha makucha? As for me sijawa na sababu ya kugombana nae it's like tunaelewa sana.
Naomba nipate ushuhuda au uzoefu juu ya mahusiano ya aina hii maana pamoja na kwamba nimekuwa na mahusiano mengi ila sijawah kupata mahusiano as calm as this one.
Karibuni..
Mmh kwangu iko tofauti tukiwa karibu mikwaruzo inakuwa kidogo hata ikitokea ni rahis kusuluhisha ila tukiwa mbali ni shida hapa nilipo ni siku ya tatu hatujaongeaa no SMS no call...kinachosaidia msigombane mara kwa mara ni huo umbali mliopo,km ulivyosema mara ya mwisho mligombana sababu alichelewa kurudi,mara nyingi kuwa karibu na mtu, kunaongeza mawasiliano ya ana kwa ana,na hapo ndipo chances za kugombana/kwaruzana zinapoongezeka,ila km mko mbali, sio rahisi sn kugombana!
Mmh kwangu iko tofauti tukiwa karibu mikwaruzo inakuwa kidogo hata ikitokea ni rahis kusuluhisha ila tukiwa mbali ni shida hapa nilipo ni siku ya tatu hatujaongeaa no SMS no call
Yaani asantee sana ni sehemu ya changamotohahaha pole mkuu,,you have to learn to realize mahusiano bila mkwaruzano inawork