Itakuwa poa sana mzee uknfanyia mpango nkaipata iyo ya wadada piaHawamo kwenye hii mix, kuna mix moja ya wadada wa Carribean sema mi sijaizimikia. Haiko tight Sana wadada wanaimba Sana mapenzi
Be blessed kiongozi wang
Hahahaaa hiz ngoma znateka sana hisia aseeHizo ngoma mzee kama upo home unafanya kazi za mikono, unaweza kusahau kula. Hapa maghetoni ndio kama taarabu Zanzibari man. Mchumba hapa kabla haja move in alikuwa hajui hii kitu, siku za mwanzo alikuwa anaona kichina tu, sasa hivi nimesilimisha hata akiwa peke yake huko nasikia anaenda sambamba na chorus, hahaha.
Kuna website moja nili download almost 15gb za mixtape za reggae riddims.. Nilikua sikamatiki aiseee.. Too bad nilidondosha external yangu na huo ndo ukawa mwisho.. Ile website kwa sasa imefungwa and i dont know napata wapi hii mambo