Sweet Lady i'll never 4get U

Sweet Lady i'll never 4get U

IRAQW MINING

Member
Joined
Apr 18, 2011
Posts
86
Reaction score
6
Jaman wana jf amani kwenu! Mm ninatatizo wapendwa,kuna mtu hapa jf huwa nampenda sn,anaitwa swty lady!simfaham nasimjui lkn nahis km ninatatizo kwn nimeshindwa kumsahau huyu mtu jaman,nafikir labda nitakuwa mgonjwa c bure hii,mwenye kujua tiba ya tatiz langu anisaidie! dah.
 
Umemtafuta kwanza Swt L kabla ya kuwakilisha hapa???... Isije ikawa kumbe ndo umeharibu kabisaa....
 
Sasa sisi inatuhusu nini?
Umempenda mtu au umependa jina.
 
Ajabu!
Ajabu!
Ajabu!
Usije penda jini,mtu hujawahi hata kuonana nae, wengine ni wanaume lkn humu wameweka majina ya kike wanakuchora tu!
 
nimem-pm zaid ya mara 60 hajibu ss nifanyenn?


Isije ikawa kila tunalo suggest lina jibu... IM Unaonaje ujipange upya katika thread tueleze hatua zoote ulizofanya mpaka kufika wewe hapa janvini na tatizo lako.. Hapo nadhani ushauri tutajitahidi tuwezavyo... Alafu una m-PM mara 60 let alone hata mara 5 mtu harespond na unamuona anatuma posts - nafikiri kisha kujibu....
 
Mnaboa kweli na thread zenu za kuomba ujuzi wa kutongoza wanaJF jamvini!!
SiumPM???Asipojibu jua hayuko interested na kwakuweka CRAP hapa jamvini ndo kabisa anaona wewe sio!!!
 
Sweat lady..... what do you have to say? jamaa kazimia mzigo ambao hata hajauona!
 
kukurupuka kwingine hakuna maana.......
 
Ajabu!
Ajabu!
Ajabu!
Usije penda jini,mtu hujawahi hata kuonana nae, wengine ni wanaume lkn humu wameweka majina ya kike wanakuchora tu!

kama unajinsia ya kiume afu unatumia jina la kike utakuwa bwabwa tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom