Sweet Lady i'll never 4get U

huyu jamaa kuna siku kaja na thrad hapa akisema.....amepanga nyumba huko arusha na mama mwenye nyumba anamziki sana.......akaongeza kuwa mama huyo hana mume kwani alifariki zamani na anaishi na watoto wake.......leo unakuja kaja na hii ya kutamani mtu humu ndani
 
makubwa..sikujua kama hata jf kuna braka braka things za kufol kwa m2 ucyemfaham wala kumjua...hahahaaaa....hayanihusu,...we sweetlady usimpge mwenzio kibuti kihivyo loh!pm 60 hujibu?we ni wa ukwee....:msela:
 
Ni hisia tu jamani. Sweetlady ni aje jooo! pm 60 aah nomaaa...!! Jina hilo, he is trying to imagine how sweet u are!
 
Watch out kuna mabaasha wengi tu ndani..kimbilia majina uone moto
 
U'll neva forget her! i thot to not forget someone, you have to meet her first. all the best m-MP
 
pole braza, bt nakubaliana na mchangiaji mmojawapo kwamba usione jina na kulijengea taswira nzuuuri, anaweza kuwa jibaba linakucheka kila unapo li-PM. pia anaweza kuwa dada ambaye pale utakapokutana nae utamkana kwamba hujamuita. (mbaya), epuka kusumbua kichwa chako kwa kuchora taswira ya m2 usiyemjua.
 
Duu. ....Humjui wala haumfahamu lkn unampenda sana na unashindwa kumsahau.....mmh mbona kama sijaelewa

Jaman wana jf amani kwenu! Mm ninatatizo wapendwa,kuna mtu hapa jf huwa nampenda sn,anaitwa swty lady!simfaham nasimjui lkn nahis km ninatatizo kwn nimeshindwa kumsahau huyu mtu jaman,nafikir labda nitakuwa mgonjwa c bure hii,mwenye kujua tiba ya tatiz langu anisaidie! dah.
 
Sasa cha kushangaza hapa nini?Kama kazimia jina au ni jini au chochote,sidhani kama jamaa kafanya vibaya kuji-express hisia zake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom