Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 4,427
- 9,298
Ndy naona unanawiriMbona nshaweka picha zake nyingi tuu kwenye nyuzi zangu?
Ngoja nikutafutie nyingine.....
View attachment 2101909
View attachment 2101910
View attachment 2101911
Need I say more.....!!?
Raha sana kupendana aiseeeh....!
Nanenepa tuu πππ .
Waaaaoooh...Mpaka Nimeona Wivuuu Wallah....Mapenzi Motoooooo....safii Mama mtu [emoji2957][emoji2957][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji180][emoji94]I know....
I know.... but all these because of love....
Babe, I love you [emoji7].... so much....
Wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi , mahana ni misumari nigongelee taabani niteketee
Tahadhari tuweke bango wasitusogelee
Huu mchezo wa mapenzi tuna talanta, swadakta mahaba matata......
View attachment 2101789
Me and you are perfect Combo...
Baby umeniroga JuuJuu nahemea JuuJuu
How I wish ...... let me say I love you and I need you.
Duniani mingi mitihani, jibu langu ni weewee....
View attachment 2101792
Am falling in love with you and Iβve made up my mind with you.
No matter the situation, you are my one and only man.
Mahabuba,
Najua utapita kusoma hapa, Asante kwa kunipa uso an tabasamu angavu.
Najikuta natabasamu muda wote...[emoji3526]
Acha tuu wadau wa hii hadhira waulize umenipa nini.... nimekuwa mlevi wa penzi lako... ongeza nilewe.
Mwambie mganga wako, kaniweza [emoji1430][emoji1430][emoji1430].
Siri naijua mwenyewe [emoji6][emoji8][emoji8][emoji8].
Kasinde.
Asikwambie mtu, ukipenda.... chongo utaita kengeza.....[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]... Weshu... Utam wa shok shok ladha yake nyama tupu..[emoji7][emoji1787]Acha kabisa...
Yaani huoni makosa zaidi yake unaona mapenzi, mahaba, raha na furaha telee...
Waja watasema nimepewa limbwata, kalishwa nshutama, na maneno kadha wa kadha....
Asikwambie mtu, ukipenda.... chongo utaita kengeza.....[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
WivuuuHamna kitu.
Hujajua mengi bwana mkubwa..πWivuuu
Kasie Matata at what she does best - being lovable and spreading love! [emoji8][emoji8][emoji8]
This troubled world needs more Kasie Matatas....
Daddy CoolI know...
I know, but all these because of love...
Babe, I love you [emoji7].... so much....
Wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi , mahana ni misumari nigongelee taabani niteketee. Tahadhari tuweke bango wasitusogelee
Huu mchezo wa mapenzi tuna talanta, swadakta mahaba matata...
View attachment 2101789
Me and you are perfect Combo...
Baby umeniroga JuuJuu nahemea JuuJuu
How I wish, let me say I love you and I need you.
Duniani mingi mitihani, jibu langu ni weewee.
View attachment 2101792
Am falling in love with you and Iβve made up my mind with you.
No matter the situation, you are my one and only man.
Mahabuba,
Najua utapita kusoma hapa, Asante kwa kunipa uso an tabasamu angavu. Najikuta natabasamu muda wote...[emoji3526]
Acha tuu wadau wa hii hadhira waulize umenipa nini nimekuwa mlevi wa penzi lako... ongeza nilewe.
Mwambie mganga wako, kaniweza [emoji1430][emoji1430][emoji1430].
Siri naijua mwenyewe [emoji6][emoji8][emoji8][emoji8].
Kasinde.
Yale mambo yetu,tupo marefa hapa kupanua miguu,funga fungua.Kugombelezea nini?