wamaukweli
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 1,084
- 1,276
Nasubiri move ifike katikat maana produz wet tunamwelewNilikuta matundu mawili ya vyoo katika ofisi ya mtendaji wa kata nje kuna bango kubwa limeandikwa kwa msaada wa watu wa marekani. Nilijiuliza ndo misaada tunayoambiwaga kwa mbwembwe au hii ni design nyingine. Nilienda mbele zaidi nchi iliyojaa raslimali mpaka raslimali watu ya wataalamu inashindwa kujenga matundu mawili ya vyoo mpaka msaada kutoka kwa watu wa marekani?