Sweden: Nakala ya Quran yachomwa moto na kudhihakiwa mbele ya Kasri la Mfalme

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,465
17,306
Matukio ya kuchoma moto na kudhihaki kitabu cha Quran yameendelea tena nchini Sweden ambapo jana watu wawili walichoma moto na kuchana chana kanala za Quran hadharani mbele ya kasri la mfalme.

Ikumbukwe wiki iliyopita waziri Mkuu wa Sweden alisema anasikitishwa na kitendo cha idadi kubwa sana ya watu kuandika barua ya maombi waruhusiwe kuchoma quran hadharani. Mbaya zaidi idadi hiyo inaongezeka kila kukicha.

Soma mwenyewe hapa chini.

---
A copy of the Quran has been desecrated in Sweden’s capital as two men kicked the Muslim holy book and burned several of its pages in front of the Royal Palace amid a heavy police presence.

Monday’s incident marked the second time in a matter of weeks that Salwan Momika, 37, and Salwan Najem, 48, have burned the Quran, an act permitted under Sweden’s freedom of speech laws, at Mynttorget, a central square surrounded by government buildings and the palace.

Momika and Najem engaged in a prolonged, theatrical and now familiar desecration of the Quran while using a megaphone to goad counterprotesters.

On Monday, several people in the crowd brought their own megaphones, and the two men were largely drowned out by counterprotesters.
Sweden Quran burnings

Present among the crowd was a group wearing firefighter-themed outfits whose members chanted “extinguish the hate” while handing out plastic firefighter hats and encouraging onlookers to speak into their megaphones.
Salvaging pages of the Quran

Those granted permission to burn the Quran are allocated a one-hour slot, after which the police disperse them and allow people to collect any remnants of the desecrated holy book.

On this occasion, Momika and Najem had printed multiple pages of the Quran that had text in Arabic as well as translations in Swedish that blew across the square.

After the pair left the area under police escort, several men rushed across the square, picking up the pages from the ground and from the walls leading to the Royal Palace.

Geopolitical ramifications

This year, several Quran burnings have taken place in Sweden and Denmark, prompting outrage in Muslim countries that have demanded the governments of both countries stop to the incidents.

The burnings have caused a diplomatic crisis for Sweden and led to demonstrations in several countries calling for a boycott of Swedish products.

Week in the Middle East

Catch up on our coverage of the region, all in one place.

It has also raised security issues for Swedish nationals abroad.

In Iraq, the Swedish embassy was stormed and set on fire last month by hundreds of protesters, mainly followers of the populist Shia leader Muqtada al-Sadr.

On Sunday, the United Kingdom’s Foreign, Commonwealth and Development Office warned Britons from traveling to Sweden over possible terrorist attacks following the burnings, adding that Swedish authorities had successfully disrupted some planned attacks and made arrests.

This month, the Swedish government ruled out any sweeping changes to its freedom of speech laws but repeated it would look into measures that would allow police to stop the burning of holy books in public if there is a clear threat to national security.

Sweden reconsiders Momika’s residence permit

Momika came to Sweden in 2018 and was granted a three-year residence permit in April 2021.

After the first Quran burning, Swedish authorities received information that led to the Migration Agency opening a case to reconsider Momika’s residence permit.

Videos and photos from when he lived in Iraq appear to show he had a leadership role in a Christian militia group that was part of a Shia Muslim umbrella organisation with close ties to Iran.

Momika has also expressed favourable views towards the right-wing, anti-immigration Sweden Democrats party on social media.

Najem emigrated from Iraq in 1998 and became a Swedish citizen in June 2005.

Both men are currently being investigated on suspicion of incitement against an ethnic group.

Source: Copy of Quran desecrated outside Stockholm’s Royal Palace
 
baadhi ya watu wanapenda namna waislam wana act kama kunguru so wanapenda kuwachezea.

kwa sisi watu wa mtaani kuna dhana kwamba ukipewa jina la utani ukalichukia lazima likunate,kila mtu ataendelea kukuita,ila ukicheka ukakausha ndio linafia hapo hapo.

kuchana kitabu cha dini,hakuna athali zozote kwa mchanaji,mwenye nacho(mungu),waumini wa kitabu hisika,wala watazamaji,kile ni kitabu tu,kinaweza hata kuchambiwa.
zaidi tu mchanaji anatakiwa ahurumiwe kwa kukosa busara.
 
Hapo sijaona amefurahishwa. Ametuhabarisha tu hii habari ya kimataifa toka Sweden

Mleta uzi amesahau kusema kuwa waliochoma Quran huko Sweden ni wazaliwa wa Iraq (Salwan Momika, 37, and Salwan Najem, 48, ) waliohamia Sweden
Hao ni njaa na matamanio ndio yanayowaponza. Lengo lao wakishafanya hivyo na wakishaharibu wanapata kigezo cha kupata kibali cha ukimbizi huko Sweden wakiegemea sababu ya kutishiwa kuuawa.
 
Matukio ya kuchoma moto na kudhihaki kitabu cha Quran yameendelea tena nchini Sweden ambapo jana watu wawili walichoma moto na kuchana chana kanala za Quran hadharani mbele ya kasri la mfalme.

Ikumbukwe wiki iliyopita waziri Mkuu wa Sweden alisema anasikitishwa na kitendo cha idadi kubwa sana ya watu kuandika barua ya maombi waruhusiwe kuchoma quran hadharani. Mbaya zaidi idadi hiyo inaongezeka kila kukicha.

Soma mwenyewe hapa chini.
Mimi si Mkamilifu sana ila nasema toka ya Moyoni hao Wasweeden watapata Majanga ya asili mpk wachakae ni suala la muda tuh.
Kudhihaki dini/Imani ya mtu ni jambo baya sana aisee. 😭 😭

Tena nahisi hilo Kasri litapigwa tetemeko/Kimbunga and the likes lote litabomoka na kutatokea vifo vingi sana vya wananchi na maelfu ya wananchi watapoteza sehemu za makazi.

Siyo jambo zuri kukashifu/kudhalilisha dini/iman ya mtu.

NOTE: Mod Hii comment msiifute hakika itatupa ushahidi huko mbeleni ni Nini Mungu alifanya kwa Sweeden baada ya Maovu yao ya kudhihaki dini ya Uislam kwa kuchana vitabu vyao.

Wallau Allam🙏🙏🙏🙏
 
Matukio ya kuchoma moto na kudhihaki kitabu cha Quran yameendelea tena nchini Sweden ambapo jana watu wawili walichoma moto na kuchana chana kanala za Quran hadharani mbele ya kasri la mfalme.

Ikumbukwe wiki iliyopita waziri Mkuu wa Sweden alisema anasikitishwa na kitendo cha idadi kubwa sana ya watu kuandika barua ya maombi waruhusiwe kuchoma quran hadharani. Mbaya zaidi idadi hiyo inaongezeka kila kukicha.

Soma mwenyewe hapa chini.
Kwani ni Mungu yupi huyo hasiyejitetea mwenyewe mpaka watu wamuandamanie ndio aonewe huruma!???
 
Wanajaribu kuwatoa upumbavu akina FaizaFoxy The Boss kuwa hicho kitabu ni sawa na vitabu vingine ambavyo vimechapishwa na mshine za haohao makhafir Yawapasa sasankumwachia Allah SW ajipiganie mwenyewe
Mpumbavu hapa atakuwa wewe
Kama kutetea mkataba WA bandari kuna wakristo Wengi hapa wametetea... inahusiana vipi na masuala ya Sweden na kuchoma Qur'an??..

Kama kumtetea Samia kuna wakristo Wengi hapa wanamtetea Samia..
Kuna ma judge wa mahakama Mbeya walikuwa waislam wale?
Wabunge majority ni waislam wale?

Punguza upumbavu Kwa kunihusisha na mada za dini....
Kumuunga mkono Samia ni siasa
Kuunga mkono mkataba ni sheria ambazo mahakama kuu imezipitia na Haikuona shida...
Kushambulia watu Kwa kila mada hata ambazo sijashirki kuchangia inaonesha upumbavu na chuki ulivyokujaa....

Huko Sweden mbona Bendera Yao ikichomwa watu wanashitakiwa?
Mbona Tanzania huwezi choma Bendera...si kitambaa tu??

Punguza chuki jielimishe...
 
Matukio ya kuchoma moto na kudhihaki kitabu cha Quran yameendelea tena nchini Sweden ambapo jana watu wawili walichoma moto na kuchana chana kanala za Quran hadharani mbele ya kasri la mfalme.

Ikumbukwe wiki iliyopita waziri Mkuu wa Sweden alisema anasikitishwa na kitendo cha idadi kubwa sana ya watu kuandika barua ya maombi waruhusiwe kuchoma quran hadharani. Mbaya zaidi idadi hiyo inaongezeka kila kukicha.

Soma mwenyewe hapa chini.
Hii nchi siyo Sweden, waachie mambo yao
 
Back
Top Bottom