Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
We Lumumba, Sweden huiwezi hata kwa lolote, si kwa jeshi, mali, etc, etc, etc, etc, etc................................ We need diplomatic approach siyo kuwa mechanidal kama unavyoshauri!Hii dhahiri kuwa serikali ya Sweden inatutafuta ugomvi wa wazi kabisa.
Kwanini imemtuma huyu mwanamke kuifanyia fujo nchi yetu huko Loliondo? ukitaka kuamini kuwa Sweden inatuchokozi, hata baada ya huyu mwanamke kuzuiwa kuingia Tanzania na passport yake kupigwa muhuri unaomzuia kuingia Tanzania, bado serikali ya Sweden ilimpatia mwanamke huyu jasusi passport #82562397 ya mwaka 2011 na kisha akarudi tena Tanzania kupitia Namanga ,na kuendelea kuichafua Tanzania mitandaoni, mtu aliyeingia ktk taifa la watu Kama mtalii anakujaje tena kuanza kuwa mwanaharakati na kuwatukana Viongozi wa serikali?
Swali langu, Sweden inatutafuta nini?
Susanna Nordlund ,jasusi la Sweden lililotumwa Kwa kazi maalumu, serikali mkamateni huyu mtu hata Kama anafanyia harakati zake Kenya.
Acha upuuzi wewe, kwanza Mimi siyo Lumumba, mimi na ccm ni maji na mafuta, pili, ktk suala la taifa hakuna upuuzi unaosema hapa eti diplomatic approach Kwa mtu yeyote anayejaribu kugusa taifa letu, hata angekuwa mmarekani angekamatwa tu, utajiri na nguvu ya jeshi haviwiani kabisa ktk kumwajibisha mhalifu.We Lumumba, Sweden huiwezi hata kwa lolote, si kwa jeshi, mali, etc, etc, etc, etc, etc................................ We need diplomatic approach siyo kuwa mechanidal kama unavyoshauri!
Tumia lugha safi basi, upuuzi ni tusi. Ngoja nisikurudishie. Ipo siku, nakujua sana humu ni mchangiaji mzuri nakufahamu. We ni mwenzangu angalau kwa hili la CCM. Tuje kwenye mada, Kuna namna ya kudeal ma mtu anayekuzidi kwa kila hali. Ukibishana na USA/Uingereza mechanically, akiamua jioni unaachia ngazi ya madaraka yako! We need a diplomatic approach, unamkamata kwa misingi ya sheria siyo kama wanavyowafanyia chadema! Ukiwafanyia kama wanavyofanyiwa UKAWA watakutumbua siku hiyo hiyo! Muulize gadafi, Sadam Noriega etc!Acha upuuzi wewe, kwanza Mimi siyo Lumumba, mimi na ccm ni maji na mafuta, pili, ktk suala la taifa hakuna upuuzi unaosema hapa eti diplomatic approach Kwa mtu yeyote anayejaribu kugusa taifa letu, hata angekuwa mmarekani angekamatwa tu, utajiri na nguvu ya jeshi haviwiani kabisa ktk kumwajibisha mhalifu.
Kwani chadema wanakamatwaje mkuu?Tumia lugha safi basi, upuuzi ni tusi. Ngoja nisikurudishie. Ipo siku, nakujua sana humu ni mchangiaji mzuri nakufahamu. We ni mwenzangu angalau kwa hili la CCM. Tuje kwenye mada, Kuna namna ya kudeal ma mtu anayekuzidi kwa kila hali. Ukibishana na USA/Uingereza mechanically, akiamua jioni unaachia ngazi ya madaraka yako! We need a diplomatic approach, unamkamata kwa misingi ya sheria siyo kama wanavyowafanyia chadema! Ukiwafanyia kama wanavyofanyiwa UKAWA watakutumbua siku hiyo hiyo! Muulize gadafi, Sadam Noriega etc!
Kwani chadema wanakamatwaje mkuu?
Kama kumbikumbi kwa maji ya washawasha.Kwani chadema wanakamatwaje mkuu?
Hapo upo sawa mkuuTumia lugha safi basi, upuuzi ni tusi. Ngoja nisikurudishie. Ipo siku, nakujua sana humu ni mchangiaji mzuri nakufahamu. We ni mwenzangu angalau kwa hili la CCM. Tuje kwenye mada, Kuna namna ya kudeal ma mtu anayekuzidi kwa kila hali. Ukibishana na USA/Uingereza mechanically, akiamua jioni unaachia ngazi ya madaraka yako! We need a diplomatic approach, unamkamata kwa misingi ya sheria siyo kama wanavyowafanyia chadema! Ukiwafanyia kama wanavyofanyiwa UKAWA watakutumbua siku hiyo hiyo! Muulize gadafi, Sadam Noriega etc!
Ukiikosoa serikali tu au kuwa kinyume nayo bila hata kuvunja sheria unakamatwa na kulazwa ndani, ( LISU, CHASO etc) then unapelekwa mahakamani. Hawa diplomats ukiwafanyia uvunjaji wa haki za binadamu of that magnitude, hawatakuvumilia, watakutumbua! Ndio maana wachina wanafanya "ushenzi" kwa watu wetu wanachelewa! Tumejikakamua kwa binti wa meno ya ndovu na ni kwa vile she was not a diplomat!Kwani chadema wanakamatwaje mkuu?