nimekupata rose sio kwamba huyu hajui anaweza na anajali sana tu na najitahidi kweli hata kupiga simu na msg kama hatuko wote lakini bado tu huyu tuliyeachana anakuja kwenye kichwa changu nachanganyikiwa sana sitaki kumuumiza huyu maana usiyotaka ufanyiwe usimfanyie mwezako halafu nahisi kama sipendi tena wakati mwingine nipo tu