mie jamani nipo njia panda nachoka kabisa na haya mambo, ni jana tu licmu la mr linaita hapo, alikuwa katoka kidogo, ckuipokea, amerudi huko ameaanza ooh aahh kwanini ckupokea nikamwambia amcal kwenye cm nyingine aliyetoka nayo?...jina lenyewe "mzee j" mie nipo huyo ndio kadadaa hapo nipoke nianze headache saa hizi...nilitulia kama siickii vile, nadhani tu mtu umwachie cm yake afanye atakayo, lakini za mwizi 40...
Hahaha! Homeboy bana! Hujui kuitumia anapokuwepo. Akiondoka kaisahau am sure unafanya the needful!
si bora hata huyo ameandikwa 'mzee j' hata kama ni kiblandina chake.....imagine kama yule shostito wako mumewe alisave sijui 'honey'.....hapo si ndo wafwa kabla hata hiujauliza??
Ndio hapo sasas ! Huwa nashangaa kukuta kaka ana wivu balaa kwa dada yake! 🙂
kwani hawa watu...bht c ataseviwa mzee j, caty ataseviwa kaka shy, so kuzuia mtafaruku hapo ni bora tu nijihami kama ni kweli mzee j au ni bht mie nijilkalie kama coni wa cckii, lakini nicmbambe, umenikumbusha ya honey, jana shem kamcal mr anamuomba amcndikize kwa wazee akaombe radhi.....
Hahahaha lol mbona dada hawi na wivu kwa kaka?
Hehehe hii ipo sana tena mno sijui ni nature
hahaaaaa lol mbona usista tena!!! afu kule ndo raha bin starehe maana wala huna waiwasi kama kwenye ulei mara uhisi unaibiwa......
Anachotakiwa kufanya ni kumnyamazia kimya na kufanya uchunguzi kimya kimya, na kujua je mkewe napokuwa hayupo huwa anazima pia au huzima akija tu....??????????? huenda ndio utaratibu wake kuzima simu kila usiku uingiapo. Kila mtu ana maamuzi na simu yake. na je kwa nini waishi mikoa tofauti... mke angeenda kuishi na mumewe, km kazi anaweza kuomba uhamisho, au km hiyo ofisi anayofanya ni private anaweza kwenda kutafuta kazi mkoa anaoishi mumewe ili awe karibu na mwenzake na si unajua tena ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO. au FIMBO YA MBALI HAIUWI NYOKA.
Domo Kaya unaonaje ukabadili avatar yako? Najua mamushka wangu anaogopa kukuambia ila inamtesa sana!
Sasa nyamayao shemeji kajibuje? Maana lol sipati picha atikwani hawa watu...bht c ataseviwa mzee j, caty ataseviwa kaka shy, so kuzuia mtafaruku hapo ni bora tu nijihami kama ni kweli mzee j au ni bht mie nijilkalie kama coni wa cckii, lakini nicmbambe, umenikumbusha ya honey, jana shem kamcal mr anamuomba amcndikize kwa wazee akaombe radhi.....
huyu DK na kuna mwingine kaingiza ulimi puani jamani I hate their avatars...disgusting hata post zao huwa staki kusoma tena..........aaah!!
kheeee hivi yule dada anaendeleaje tena?? any possibility ya kurudiana au ndoa imekuwa irreparable......
mwee bora uepuke shari ujifanye huoni vile ila hii nayo you have to be prepared for any suprises...
Mwone Invisible kuna kaprocess flani hivi kama huwapendi unawapotezea tu
ndio mana nina sheria ya kuharibu...naharibu mazima!...mkaka sasa hivi yupo lonely haswaa, mdada ndio kashaingia barabarani kwa speed 180, na alivyo mrembo mr anakula kwa macho tu, c aaliyataka mwenyewe? mdada hataki kuckia kitu kinaitwa "kurudiana"...ngoja tumpe muda labda atachange mind.
Unaweza kuta unapenda mapointi yao tatizo linakuwa kwenye avatar. Ile ignore list unapotezea kila kitu. Ila kwa m-avatar huu naona itabidi ni do the needful..
Unaweza kuta unapenda mapointi yao tatizo linakuwa kwenye avatar. Ile ignore list unapotezea kila kitu. Ila kwa m-avatar huu naona itabidi ni do the needful. Ahsante kwa kunikumbusha.
Ndo mnavoniudhi kwa kujidanganya. Nani alikudanganya mwanaume anakuwa lonely?ndio mana nina sheria ya kuharibu...naharibu mazima!...mkaka sasa hivi yupo lonely haswaa, mdada ndio kashaingia barabarani kwa speed 180, na alivyo mrembo mr anakula kwa macho tu, c aaliyataka mwenyewe? mdada hataki kuckia kitu kinaitwa "kurudiana"...ngoja tumpe muda labda atachange mind.
Hapo sasa ndo kwenye ishu utakuta kuna jamaa wanazipenda avatar zao sasa umshawishi mpaka akubali ndo kwenye ngoma hapo.
Hahahaha unajua watu bana tunaishi kimkakati zaidi lazima mtu ajue A,B,C zako sio aje apate shida mtoto wa watu akiwa ndani ya hausi ni vyema ukamweleza mapema simu yangu hugusi bila ridhaa yangu ukigusa mtafaruko.