DC kwa hiyo fani hii inawataalamu kiasi kwamba mke hawezi hata kuota anaibiwa....
you got it right girl!utafiti huo huo wa haraka utatuonesha wanaume ndio wanaotumia vibaya(cheating) hizo simu kuliko wanawake hence wanaogopa wakilianzisha na wao hawako tayari simu zao zipekuliwe wakijua kuna vimeo..............
yani wewe uminichekecha sana haaaaaaaaaaaa haa rofl😎😀
Hayo yote mi nakubaliana nayo. ila ukweli sidhani kama unaweza kufunga virago na kuondoka kwako kwa kumhisi mumeo ana cheat au kwa kukuta message kwenye simu. Kweli sipendi na sikubaliani mwanaume kucheat, hilo wanawake wote tunakubaliana nalo, na ni kweli wanaume wakiamua kuacha hii tabia mbaya inawezekana. (i am glad my man doesnt do this so far, so i believe its possible). lakini je unaweza kuwa na uhakika huu kwa muda gani? is it guaranteed for a lifetime? na je utamzuiaje mtu mzima? vp usipojua chochote? na kama ukianza kuhisi (pengine ukweli, na pengine uongo) unafanyaje, unaanzisha vurumai, unafunga virago na kuvunja ndoa, unaanza kuinsist condom au inakuwaje? i am confused here.
Ndio maana yake! 🙂
Do you mean cheating is not acceptable because hurts the feelings of your partner. Should you do it, do it in such a professional way that, your partner will not be suspicious (!?).
habarini wanandugu
Kuna wakati nilishawahi kuuliza dalili kuwa mwenzio si mwaminifu kwako ni zipi nikashindwapata jibu. Sasa nauliza specifically maana kuna mdogo wangu kaja analalamika kuwa mumewe haeleweki siku hizi kila akija au yeye akienda (wanaishi mikoa tofauti) usiku lazima mume azime simu zake. Akimwuuliza anadai kuwa zina matatizo ya charge!! Yaani hata akiomba kurushiwa credits mr atawasha, amtumie kisha anazima.
sasa mie alivyoiweka kwangu naona ni kama mr anaavoid kugonganisha magari hewani au nakosea?
Je mkeo/mumeo akifanya hivi utafikiriaje?
2. Kafanye nini kutoa huu wasi wasi wake?
utafiti huo huo wa haraka utatuonesha wanaume ndio wanaotumia vibaya(cheating) hizo simu kuliko wanawake hence wanaogopa wakilianzisha na wao hawako tayari simu zao zipekuliwe wakijua kuna vimeo..............
kwa sababu tu wanaume hawasemi ukweli hapa, au pia kwa sababu wengi wana mambo wanayoficha ndo maana wote wanaunga mkono simu zao zisipekuliwe lakini wadada wengi wako tayari waume zao washike simu zao muda wowote, that tells you the rest. So far i remembet only DC amabaye amekubali simu yake na ya mkewe ni ya wote kama walivyo mwili mmoja katika kristo Yesu.
kazi ipo
tupo mtazamo chanya Masaki.........Huo ni mtazamo hasi wa wanawake kuhusu wanaume na jinsi wanavyozitumia simu zao!
Mpenzi Mbu nimekuwa nikikutarajia tangu asubuhi mpenzi haya imekuwaje leo?MJ'1,
kuna msemo wasema "curiosity killed the cat", yanini kujipa mashaka kwa ajili ya simu tu inayozimwa usiku?
Mshauri mdogo wako aache kumchungua Mumewe. Binaadamu unapomchunga ndipo anapogundua njia mpya za kuanza kudanganya.
MJ1,
Achana na mambo ya SIMU za mkononi!
Kila wanandoa waweke "policy" zao "re mobile phone usage"
Vinginevyo NDOA nyingi zitadondoka!
tupo mtazamo chanya Masaki.........
Kazi ipo siyo kidogo! People are calling a spade a spade here today, and not a big spoon! So please, you better fasten your seat belt!! 🙂
BAK aksante kwa ushauri wako.Naam Mkuu, hizi simu zimeleta balaa kubwa katika ndoa na watu wasipokuwa makini ndoa nyingi zitaishia kuvunjika. Hawakukosea wale watunga methali waliposema ukimchunguza sana kuku basi hutamla.
Have a great day 🙂
Which is worse .doing something and wishing you hadnt or doing nothing and wishing you had?
mimi mwenyewe kuna wakati nilishikika katika hali kama hii na uamuzi niliokuwa nao ni kuzima simu mara ninapokuwa na mmoja! thats life!