Hapa jukwaani kuna mgao wa umeme, nadhani wewe utakua waja jukwaani kipindi umeme umekatika na taa zimezima...
Asante kwa niaba yake.
Wee nawee! Kwa kuona mbali ! Yaani kama mie nilivyokugriti kwa niaba yake, na wewe umeniitikia kwa niaba!
Full niaba!
Naipokea kwa niaba either !