wapendwa hivi ni kweli bahati haiji mara mbili????
Wapendwa hivi ni kweli bahati haiji mara mbili????
Jamani watu8 ina maana wewe hujawahi kupata bahati?
Bahati ya nini? kama kuna kitu unahitaji ni lazima ukifanyie kazi, kwa kizungu wanasema; to be lucky is to be the right person, at the right place at the right time. wee endelea kukaa na kusubiri hiyo hiyo bahati ije utaozea hapo hapo
Wapendwa hivi ni kweli bahati haiji mara mbili????