Swali

DEVINE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
536
Reaction score
87
Ivi naomba niuleze eti mwanaume hua ana bikira?! Sasa kama hajawahi kufanya mapenzi anajulikanaje?
 
Hivi mjue kuna jambo linaenda kutokea hapa?
Kumbe kweli memnde akitaka kata roho miguu hurefuka.
 
alafu akishakufa miguu huwa juu
 
Kama hajawah kufanya mapenzi huyo ni BK, na utamgundua tu kwani huwa waoga waoga sana mara yakwanza, na huwah kupiz kwa kuwa na papara, frm my experience,
 
Kama hajawah kufanya mapenzi huyo ni BK, na utamgundua tu kwani huwa waoga waoga sana mara yakwanza, na huwah kupiz kwa kuwa na papara, frm my experience,

Experience of which year?
 
Mi sifahamu kama bikra ni "noun",au ni jina...
Ama ni sifa ama kitu gani.. SIJUI..
 
Ivi naomba niuleze eti mwanaume hua ana bikira?! Sasa kama hajawahi kufanya mapenzi anajulikanaje?

Katafute kwanza maana ya bikra halafu ukishajua maana yake ndio utajua kama mwanaume ana bikra au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…