wacha niliweke kitafsida zaidi ..... swali ni kwamba why is it always "If a lock can be opened by more than 1 one key its a crappy lock But if a key can open many doors it's a master key!!!"
kwanini funguo ipewe sifa ni master.. na kufuli lipewe sifa mbaya?
Who is safe between the one having the crappy lock and the one having the master key?anyway najua unaongelea tabia za jinsia mbili za wanadamu,sitaki kuelezea yupi crappy lock na yupi ni master key,sitaki vita na jinsia fulani.

Hii kweli kabisa,
Funguo inaingia tu... sasa wakati mwingine inaweza kuhusisha kutanua, kuvunja wakati mwingine.... pia kitasa kinachofunguliwa na funguo yoyote mwenye mali ataona hana haja nacho coz usalama hamna sasa.
Ila Viper, umewaza nini jamani?? Hala hala na TAMWA, TGNP hahahaha lol