Swali

Wanaume wa kabila moja la kanda ya ziwa (watani zangu) wengi wana sauti nyororo/nyembamba sana, japo wanalipa. Je unalijua hilo kabila? Na wanaume wenye sauti ndogo ni wanaume wenye tabia gani? Kukupa hints wenyewe kwa wenyewe wakati mwingine wanaitana kisauti!

hao ni wakelewe,ukikao nao utasikia sauti zao,utafikiri ni kwaya
 
Back
Top Bottom