Swali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by nyumba kubwa, Apr 6, 2011.

 1. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Wanaume wa kabila moja la kanda ya ziwa (watani zangu) wengi wana sauti nyororo/nyembamba sana, japo wanalipa. Je unalijua hilo kabila? Na wanaume wenye sauti ndogo ni wanaume wenye tabia gani? Kukupa hints wenyewe kwa wenyewe wakati mwingine wanaitana kisauti!
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Daahh
  samahani Nyumba kubwa
  hii chemsha bongo ngumu ..
  Wataalum wanakuja lakini..
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Acha kusema kwa ujumla bana khaaaaaa...................... Ngoja waje wenyewe ungeweza kuedit kidogo angalau maana naona kama moshi unafuka muda si mrefu........................
   
 4. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Nimesema wengi sio wote. Na leo nimeongea na mmoja ndo maana nimewakumbuka kwani nimeishi nao sana utoto wangu wote. Nawafahamu vizuri hawa watani zangu
   
 5. Kichwa cha panz

  Kichwa cha panz Senior Member

  #5
  Apr 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nikipatia hii chemsha bongo ntapata zawadi gani? Mbona hujasema zawadi kwa mshindi?
   
 6. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Mshindi nita-mu-inbox. Kwani hata zawadi nayo ni fumbo
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mi najua, ukitaka niseme nipe rushwa.
   
 8. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Rushwa sitoi labda takrima. Maana mimi ni mfuasi wa Shavez
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sijui ni kabila gani ila sidhani kama sauti ya mtu inaeleza tabia ya mtu!Sema kwa kutumia common sense baadhi wanaweza kua wapole na wataratibu kwasababu sauti zao hata akikugombeza unaweza ukaona anaongea kawaida tu!Nna rafiki yangu yuko hivyo...mtu kama huyo mimi hata kua nae naogopa maana naona kama ntamuonea sana! Oyy..pole NK sijajibu nilichoulizwa..sitadai zawadi!
   
 10. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hii ngumu tudokeze basi:help:
   
 11. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  wajita, haha
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kanda ya Ziwa inajumuisha mikoa ya MWANZA, KAGERA, SHINYANGA, MUSOMA sasa sijui ni wanaume kutoka mkoa gani
   
 13. nemic4u

  nemic4u JF-Expert Member

  #13
  Apr 6, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  wakerewe
   
 14. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2011
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  :help:
   
 15. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Nachojua sio wasukuma
   
 16. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #16
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Mura hao,nakutema.
   
 17. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #17
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Umesema kanda ya ziwa, basi itakuwa WAMAKONDE hao.........
   
 18. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #18
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Unakaribia kupata. Kuna mmoja kapata lakini muda wa kutaja mshindi bado.

   
 19. LivingBody

  LivingBody Senior Member

  #19
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama siyo Wajita watakuwa wakelewe.
   
 20. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #20
  Apr 7, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  mi nahisi wakwere. teh teh
   
Loading...