Swali.

msnajo

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
3,067
1,136
Kwa nini jf members wanatumia majina ya ajabu? Au ni woga wa kujulikana? Mengine hayafai hata kutamka. Nina mashaka kuna wengine nawafaham ila kwa kuwa wanatumia majina magen nashndwa kuwatambua.
 
We unataka utambue mtu ili ufanye nini? Kama unataka mambo ya kumtambua mtu tumia facebook au m pm mtu uombe contact zake.
 
Unachosema ndicho unachofanya!!Mbona na lakwako ni la ajabu???
Haya nakwambia mimi jina langu ni Elizabeth.....umepata faida gani????
 
We unataka utambue mtu ili ufanye nini? Kama unataka mambo ya kumtambua mtu tumia facebook au m pm mtu uombe contact zake.

It was just a qn. Why are ynu bcoming angry?
 
Kwa nini jf members wanatumia majina ya ajabu? Au ni woga wa kujulikana? Mengine hayafai hata kutamka. Nina mashaka kuna wengine nawafaham ila kwa kuwa wanatumia majina magen nashndwa kuwatambua.

Mbona ww huja2mia jina lako?
 
Kwa nini jf members wanatumia majina ya ajabu? Au ni woga wa kujulikana? Mengine hayafai hata kutamka. Nina mashaka kuna wengine nawafaham ila kwa kuwa wanatumia majina magen nashndwa kuwatambua.
Mimi nilifikiri la kwako sio la ajabu.
 
Kwa nini jf members wanatumia majina ya ajabu? Au ni woga wa kujulikana? Mengine hayafai hata kutamka. Nina mashaka kuna wengine nawafaham ila kwa kuwa wanatumia majina magen nashndwa kuwatambua.

tunatambuana kwa hoja. Inatosha..
We mwenyewe lako la ajabu. Wakati nalitamka nimejing'ata.
 
Kwa nini jf members wanatumia majina ya ajabu? Au ni woga wa kujulikana? Mengine hayafai hata kutamka. Nina mashaka kuna wengine nawafaham ila kwa kuwa wanatumia majina magen nashndwa kuwatambua.

Hilo jina lako linatamkwaje??? Watu wengine bana kama huna cha kuanzisha thread acha. Yaani hata aibu huoni jina lako mwenyewe halisomeki wala halitamkiki. Soma jina langu linasomeka na kutamkika na ndio jina langu halisi
 
Kwa nini jf members wanatumia majina ya ajabu? Au ni woga wa kujulikana? Mengine hayafai hata kutamka. Nina mashaka kuna wengine nawafaham ila kwa kuwa wanatumia majina magen nashndwa kuwatambua.

Kama lako halitamkiki aisee, bora langu... lol
 
Kwa nini jf members wanatumia majina ya ajabu? Au ni woga wa kujulikana? Mengine hayafai hata kutamka. Nina mashaka kuna wengine nawafaham ila kwa kuwa wanatumia majina magen nashndwa kuwatambua.

We la kwako sio la AJABU?

kama unataka tukujue weka ur real name, Mbona wengine wameweka wapo kibao humu
 
Back
Top Bottom