Swali: Zitto ni kweli ulichukua pesa kwa seth

Swali: Zitto ni kweli ulichukua pesa kwa seth

Tuwaseme

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
645
Reaction score
1,198
Lusinde amesema bungeni kuwa Zitto alipewa rushwa mara kadhaa na singasinga huyu seth.. Kwa nn Zitto hakuomba nafasi kwa mwenyekiti wa bunge Zungu, ili akanushe taarifa ile..

Je! ni kweli Zitto ulichukua rushwa kutoka kwa seth ?
 
Hivi tunasubiri nini kuwafukuzia mbali haya magabachori ambayo yanaongoza kwa kutuibia na kutuingiza kwenye manunuzi ya gharama?. Epa, rada, chopa za jeshi, mashamba ya mkonge na mengine ambavyo tuliingizwa mkenge na kuibiwa na wahindi hawa. Kesho naanza nao mapema mitaa ya upanga walikojazana kwani nimechoka kuibiwa hazina yetu. Wewe unasemaje?. Niunge mkono tuyatimue haya majizi.
 
Alietoa hizo document za kuhusu zito kupokea mkwanja toka kwa singax2 n haaminiki kwa haraka koz n comedian na hata zile document utakuta ndan n comedy tupu.
 
hamna tatizo kwa zito yeye amekopa,wakati hawa majizi yamegawana,ni vitu vya kawaida kukopo hakuongwa.Mbona wao hawakudhubutu kuacha hata copy ya vitambulisho vyao,walichokumbuka wao ni viroba tu vya kubebea hela.
 
Mbungemmuhimu wawe wawekisheriia bila degree waisikie Dodoma
Kwanza kakiri ajaendashule .atukuitaji sababu
Kukiri anaufahamu mdogo anamwomba CAG ajekuwajuzapesa ni za umma amalah
Baada ya dk 5anasema anashangaa iweje CAG anauwezo wa kuaudit Pesa zisizo za umma

Unajiuliza. huyuhuyu popompo kaomba CAG aje aelekezwe iweje anasemapesa Si zaummaa

Shule shule
 
Kwa akili ya kawaida zito hana njaa kiivo ya kuomba 6m, na kwann ipokelewe na Vivian? Shame on you Lusinde mbunge kilaza. Mnajaribu kumchafua zito kwa 6m? Jipangeni bwana unakurupuka tu hujui unachokiongea halafu wanaume hawako hivo.
 
Ndo mjue kokote mlipo kila mbuz usaw wa kamba yke.
Hali ishakuw tete dunia hadaa ndg zngu binadamu washageuka hamna anayeaminika.
Mwnyw ckuwah kuwaz kula rushwa maishan lkn nikipew nafas km ya zitto kete lazma nichezeshe hapan kutizama mtu usoni.
Ntantalila nyiiing lkn mwisho wa cku maslai binafsi yanahus sn tn sn na sn...no accountability kbsaaa
 
Lusinde mwenyewe kamwomba Zitto ajibu hizo tuhuma atakapopewa nafasi ya kuongea, majibu anayo Z, tusubiri.
 
Back
Top Bottom