Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 11,542
- 12,403
WanaJF habari za kutwa nzima ya leo?,
Poleni sana na majukumu ya kutwa nzima!
WanaJF wenzangu,
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameanza kuzitembelea wizara Mbalimbali katika serikali yake siku chache zilizopita. Alianza na Wizara ya fedha lakini swali kubwa kichwani kwangu ni kama Ifuatavyo:-
Wadau Naomba Kuwasilisha kwa Mjadala.
Asante.
Poleni sana na majukumu ya kutwa nzima!
WanaJF wenzangu,
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameanza kuzitembelea wizara Mbalimbali katika serikali yake siku chache zilizopita. Alianza na Wizara ya fedha lakini swali kubwa kichwani kwangu ni kama Ifuatavyo:-
- Ni wizara gani ambazo zitakuwa chungu kwa Mheshimiwa Kuzitembelea?, Kwa nini zitakuwa Chungu kwa Mheshimiwa Kutia Maguu huko?
- Ni Wizara zipi ambazo Hazimwumizi Kichwa Mheshimiwa, Yaani hata akienda huko hategemei Maswali yakumbomoa?, Kwa nini hazimwumizi Kichwa Mheshimiwa?
Asante.