Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,027
- 20,518
mi najua faida.
si utujulishe nasi tupate fahamu?
Inaonekana unajua sana kuhusu hawa jamaa!!inawezekana pia, hii ni 2011, 11 ni powerful year katika masonic calendar...tutegemee mengi mwaka huu mfano uprise uarabuni, vikombe (ambilikile) ambavyo hutozwa sh 500 ambayo inaalama ya nyoka ambayo pia ni masonic symbol...ni speculation tu...
Zimwage hapa basi.mi najua faida.
Zimwage hapa basi.
Pesa kuwa mingi
ukiwa na pesa mingi uliyoipata bila jasho na isiyo halali ujue utaifuja hovyo na haina baraka za mungu