Madhara ya kuKosa malezi sahihi ya dini ungali mtoto.
Baada ya shetan kutupwa toka juu mbingun na jeshi lake ambalo lilikua ni theluth moja nzima ya malaika , mbingu zililiona hilo pengo, hivo Mungu akamuumba mwanadamu kwaajili ya kureplace ilo kundi la malaika walopote.....note ,, mwanadamu alivyoumbwa alikua hana dhambi km walivyo malaika wambinguni .
Hivyo km ilivyo kwa malaika , mwanandam aliumbwa kwanza kureplace idadi ya malaika ,pili aliumbwa kumuabudu Mungu ,ndio maana hakua hatoi jasho za kutafuta .
Mwisho,, Kitendo tu chakujiuliza ilo swali kinatosha tu kukukumbusha kua Uliumbwa Kwa mfano wa Mungu.