Pelle mza
JF-Expert Member
- May 15, 2008
- 3,050
- 1,692
Wewe na nani wakati mwili mzima umejaa usaliti!Umeuliza huku tena umeweka majibu , sass sisi tufanyeje hapo ?
Wewe na nani wakati mwili mzima umejaa usaliti!Umeuliza huku tena umeweka majibu , sass sisi tufanyeje hapo ?
Sina utaaramu katika masuala hayo nahitaji muda kufanya uchunguzi juu ya miradi hiyo miwili lakini kubwa ninalo lifahamu juu ya Gas ni kuwa miradi yake inaendelea maana zinazofanya kazi mpaka sasa ni kinyerezi 1&2 na wakati huohuo ujenzi wa kinyerezi 3 unaendelea na kinyerezi 4 kama wakitaka nao ufanyike wafanya maamuzi! Lakini Cost za Mradi na ukarabati wa mitambo ndipo huwa kuna ghalama sana kuliko umeme wa maji! na hiki ndicho kinakuja chini kabisa kwa mlaji kuuziwa umeme bei kubwa wakati umeme wa maji una nafuu! mfano mzuri ni China ana gas zaidi tuliyonayo Tanzania lakini kwanini alianzisha ujenzi wa bwawa ili apate umeme?Binafsi sipingi uwepo wa huu mradi ila napata shida na pale ninapokumbuka tayari kuna mradi ambao ulishaanza na plan ilikuwa 2018 tuwe tayari na 2000MW, ili kukamilisha mradi huo tayari lilishajengwa bomba la gas kutoka mtwara na plant ya madimba pale msimbati lengo ni kuwa na supply ya kutosha ya gas ili kukamilisha mradi huu..
Kuachana na hii plan huoni kama ni hasara kubwa sana kwa kodi za watanzania ambao wengi wao ni masikini lakini kodi zao zinachezewa..?? Je unafikiri ipo sababu yoyote muhimu inayoonyesha kuna hasara kuubwa tutapata au kutakuwa bado na shida ya umeme tukiukamilisha huo mradi wa gas 2000MW, ??
Yaani wewe ni msee...maana wabunge wengi kwa wenzetu ni wasomi wanaongea mambo ambayo ni fact ni wataalamu kwenye fani mbalimbali husunani hawa wazungu kwa hiyo kinachoongelewa ni vyakitaalamu tofauti na hawa vilaza kama akina msukuma kibajaji na jamii kama hiyo ila wewe hujui lolote erotic dreams zitakuwa zinakutaabisha tororoWataalamu ni akina nani? Yaani mbunge wa ujerumani ni mtaalamu wa mazingira? Au we kila mzungu kwako ni mtaalam!
Ni hivi watu wengi wanaandika bila kuujua ukweli.Mkuu;
Matajiri wakubwa wa Ujerumani na makampuni yao kwenye sekta ya gas na Mbolea wamefanya lobbying kwenye bunge la Ujerumani. Hata hivyo chama kimoja cha mlengo wa kulia ambacho pia kinaunda serikali kimekataa mapendekezo hayo.
Kumbuka kuna kampuni kutoka Ujerumani anataka kujenga kiwanda cha mbolea huko Mtwara.
Kiwanda hicho hakiwezi kujengwa kama kiwanda cha LNG hakijajengwa,
LNG wanategemea soko la umeme Tanzania.
Tanzania ikizalisha umeme wa maji na kujitoshereza ina maana LNG hawatakuwa na soko nchini na kwa maana hiyo hata kiwanda cha Mbolea hakitajengwa.
Za kuambiwa changanya na zako!
Ni muhimu/ ni lazima tuwe na umeme wa kutosha, kila mtanzania ni vyema akapambana kufanikisha hilo.Mkuu;
Matajiri wakubwa wa Ujerumani na makampuni yao kwenye sekta ya gas na Mbolea wamefanya lobbying kwenye bunge la Ujerumani. Hata hivyo chama kimoja cha mlengo wa kulia ambacho pia kinaunda serikali kimekataa mapendekezo hayo.
Kumbuka kuna kampuni kutoka Ujerumani anataka kujenga kiwanda cha mbolea huko Mtwara.
Kiwanda hicho hakiwezi kujengwa kama kiwanda cha LNG hakijajengwa,
LNG wanategemea soko la umeme Tanzania.
Tanzania ikizalisha umeme wa maji na kujitoshereza ina maana LNG hawatakuwa na soko nchini na kwa maana hiyo hata kiwanda cha Mbolea hakitajengwa.
Za kuambiwa changanya na zako!
Hahahahaaaaaaaa! Umempatia haswaaa!Wataalamu ni akina nani? Yaani mbunge wa ujerumani ni mtaalamu wa mazingira? Au we kila mzungu kwako ni mtaalam!
Kuna kitu hamkijui au mnakijua hamtaki kukisema. Mkataba wa gas ya mtwara kati ya wachibaji(stateoil na wenzake) na serikali ni wa hovyo kiasi kwamba tukitegemea umeme wa Gas tunaiongezea mzigo Tanesco na serikali.Inawezekana kabisa kutokana na mkataba wa gas tulioingia ni bora kuzalisha umeme wa mafuta kuliko wa gas. Nakumbuka JPM alishawahi kutoa kauli kulithibitisha hili. Mkataba wa gas ya mtwara ni wa hovyo. Ni bora tuzalishe umeme kwa nguvu na juhudi zetu wenyewe kuliko kuzalisha umeme ambao hatuna control nao.ndio maana nikashangaa hapo juu jamaa anavyojaribu kuhusisha LNG plant na Gas power plant.
In gas power plant either ni Gas engine power plant or Gas turbine power plant huwa kuna kuwa na pressure reducing plant kwa sababu tu ya kupunguza pressure huku temperature ikiwa constant ili gas iweze kufikia pressure itakayo kwenda kuendesha Engine au turbine. LNG plant kama ulivyoainisha ina faida nyingi kwenye jamii na maendeleo ya Taifa na kwa mtazamo wangu ilitakiwa iwe first priority na kuwe pia na muendelezo wa project ya 2000MW gas power plant maana tayari program ilishaanza na facility zilikuwepo kama tungehitaji hiyo Hydro ya maji basi tungeweza kuifanya hata in 2024... huku tayari Gridi ikiwa na 2000MW za Gas na infuture moja ingebaki standby na nyingine ingekuwa contunous au zingerun zote na MW nyingine tungewauzia Majirani..
Ni rahisi sana kuwaonga maprofesa kuliko kupigania mswada upite bungeni. Kama hujanielewa hutakuja kuelewa kamwe ukweli wa hii issue.Ni hivi watu wengi wanaandika bila kuujua ukweli.
Ukweli ni kwamba kabla ya mradi wowote mkubwa kutekelezwa lazima kifanyike kitu kinachoitwa Environment Impact Assessment.
Ukweli ni kwamba serikali iliunda team iliyojumuisha maprofesa nguli kufanya Environment Impact Assessment ambapo serikali yetu iliwalipa fedha kufanya kazi hiyo.
Ukweli ni kwamba team hiyo ilifanya kazi hiyo na kuandika ripoti yake ambayo ilieleza kwamba madhara ya kwnye mazingira kama mradi huu ukitekelezwa yatakuwa makubwa sana hivyo wakashauri mradi huu usitekelezwe na wakashauri serikali ijikite kwenye kuzalisha umeme kwa kutumia gesi ambayo inapatikana mtwara kwani uzalishaji wa umeme kwa kutumia umeme hautakuwa na madhara kwenye mazingira kama mradi wa stiglers gorge.
Sasa bana ripoti hii iliwasilishwa kwanza wizara inayohusika na mazingira ya bwana January.
Waziri akakubaliana na ripoti naye akaifoadi ikulu.
Bwana kolichotokea almanusura huyu jamaa apoteze kazi, .
Ukweli ni kwamba jiwe alimuita akamtukana sana kwanini amekubaliana na ushauri wa hao maprofesa na kisha akamtupia ripoti yake .
Isingekuwa aibu ya jiwe akifahamu jinsi January alivyomfanyia figisufigisu ya kutengeneza matokeo yaliyomsaidia kumuweka madarakani pale mlimani city huyu january alikuwa afukuziwe mbali.
Sasa twende kwenye hoja, kwa nini serikali yetu inakataa repoti ya timu ya iliyoiunda na kuilipa ifanye kazi na wao wakafanya na wakashauri.
Mbona Serikali hiii hii haitoi vibali vya kuendeleza miradi ambayo environment impact assessment zimeshauri kwamb arhari za mradi ni hasi.
Kuna msemo wa kiingereza unaoheshimika sana unaosema "no research no right to speak"
Research imefanyika imeeleza mradi ni mbaya kwenye mazingira watu bila hata kufanya research nyingine wanakurupuka kuukataa ushauri wa wataalamu.
Tusiwalaumu sijui bunge la ujerumani , mimi binafsi siungi mkono kupangiwa mambo yetu na hao wajerunani.
Ukweli ni kwamba mradi huu ulikataliwa kwanza na timu yetu sisi wenyewe watanzania iliyohusisha maprofesa wataalamu ambao mwisho wa siku kama kawaida ya jiwe ukitoa mapendekezo tofauti na mtazamo wake unaitwa sio mzalendo au sijui umetumwa na mabepari.
Aina hii ya uongozi ya kukataa mapendekezo ya wataalamu ni mojawapo ya element za utawala wa kidikteta.
Kuna kitu hamkijui au mnakijua hamtaki kukisema. Mkataba wa gas ya mtwara kati ya wachibaji(stateoil na wenzake) na serikali ni wa hovyo kiasi kwamba tukitegemea umeme wa Gas tunaiongezea mzigo Tanesco na serikali.Inawezekana kabisa kutokana na mkataba wa gas tulioingia ni bora kuzalisha umeme wa mafuta kuliko wa gas. Nakumbuka JPM alishawahi kutoa kauli kulithibitisha hili. Mkataba wa gas ya mtwara ni wa hovyo. Ni bora tuzalishe umeme kwa nguvu na juhudi zetu wenyewe kuliko kuzalisha umeme ambao hatuna control nao.
Megawatt 2000 tu za umeme wa maji haziwezi kuzuia muendelezo wa matumizi ya gesi.Mkuu;
Matajiri wakubwa wa Ujerumani na makampuni yao kwenye sekta ya gas na Mbolea wamefanya lobbying kwenye bunge la Ujerumani. Hata hivyo chama kimoja cha mlengo wa kulia ambacho pia kinaunda serikali kimekataa mapendekezo hayo.
Kumbuka kuna kampuni kutoka Ujerumani anataka kujenga kiwanda cha mbolea huko Mtwara.
Kiwanda hicho hakiwezi kujengwa kama kiwanda cha LNG hakijajengwa,
LNG wanategemea soko la umeme Tanzania.
Tanzania ikizalisha umeme wa maji na kujitoshereza ina maana LNG hawatakuwa na soko nchini na kwa maana hiyo hata kiwanda cha Mbolea hakitajengwa.
Za kuambiwa changanya na zako!