Swali Pagawishi: Lowassa Angemuunga Mkono 2015 Tungekuwa Tunazungumzia Serikali ya CHADEMA/UKAWA?

Dr Slaa alitoa masharti kabla Lowassa hajapokelewa wathibitishe kama ni asset au liability. Lakini mpaka anaondoka hakukuwa na jibu la kama Lowassa ni ASSET au Liability. na kwa kweli imethibitika kuwa ni liability kwa kuwa CDM kwa sasa haiwezi tena kupinga ufisadi na wameshaondoa list of shame kwenye Tovuti yao.
Dah mkuu wewe siasa hujui kabisa na dr slaa humjui kabisa ndio maana unasubiri maneno ya majukwaani kujengea hoja!!! Ndio maana nikakupa mtihani hapa kwamba kivp bestie yake slaa yani mnyika aliyetaka hadi kususa uchaguzi kisa slaa kasepa kuweka wazi sababu ya slaa kuondoka ni mambo ya kifamilia afu wwe ambaye upo lumumba unabisha???? Gwajima je ambaye ndio mshenga mbona aliweka wazi pia sababu hyo hyo kma mnyika na slaa hakuwahi kanusha

Haya nikuulize wwe nimuamini mnyika na gwajima au nikuamini wwe???
 
Muulize Msigwa, Mbowe, Mnyika na Lema kama wanaweza kumshambulia Lowassa tena kuhusu ufisadi. Wamekula matapishi yao na hawana credibility tena ya kupinga ufisadi.
Mkuu acha unafki kuna post zako humu nmezisoma za mwaka juzi ukimuita slaa padri mzinifu na mzee wa maandamano..... kivp leo hii amekuwa shujaa kwako??? Miaka yote amepambana na ufisadi ulimuita mzee wa matamko kivp leo muujiza gani amegeuka shujaa

Nisaidie hapa kwanza
 
Sijawahi kumkashifu Dr Slaa kama una ushahidi weka hapa. Mimi niliacha kushabikia CDM siku Dr Slaa amejitoa CDM. Weka ushahidi hapa!!
 
Kum
Dah mkuu wewe siasa hujui kabisa na dr slaa humjui kabisa ndio maana unasubiri maneno ya majukwaani kujengea hoja!!! Ndio maana nikakupa mtihani hapa kwamba kivp bestie yake slaa yani mnyika aliyetaka hadi kususa uchaguzi kisa slaa kasepa kuweka wazi sababu ya slaa kuondoka ni mambo ya kifamilia afu wwe ambaye upo lumumba unabisha???? Gwajima je ambaye ndio mshenga mbona aliweka wazi pia sababu hyo hyo kma mnyika na slaa hakuwahi kanusha

Haya nikuulize wwe nimuamini mnyika na gwajima au nikuamini wwe???
Kumbe nabishana na kichaa? Nikuulize ni lini CDM baada ya Lowassa kupokelewa waliwahi kutamka neno ufisadi? Au Tovuti ya CDM inayo majina ya mafisadi Leo hii? Why?
 
Ni lini wametamka??? Mnyika si siku anatimuliwa alikuwa ametoka kuwasilisha maoni ya KUB na akaelezea ufisadu mkubwa kwenye mikataba ya makampuni tofauti tofautu kuanzia mafuta mpaka madini???

Lema si alishikilia sana suala la lugumi ama umesahau??

Lisu si amehoji ufisadi kwenye mikataba ya gesi??

Mdee alishikilia bango sana kuhusu suala la ufisadi wa UDA bungeni!!!!

And the list goes on...... na wwe unajua kabisa ufisadi haujaisha tanzania na wapinzani kila cku wanalalamika kuhusu ufisadi serikalini sasa iweje wwe unaleta propaganda hapa kuwa hatuongei kuhusu ufisadi???? mnashangaza sana

Okay labda nikuulize je unafkiri nini kinaweza kuwa chanzo cha wapinzani kuacha kupiga kelele kuhusu ufisadi toka tumchukue lowasa???? Nijibu kwanza hapa
 
Si mlitangaza kwa miaka 8 kuwa yeye fisadi? Sasa mnaona aibu kwa kuwa tuko kwenu!!
 
Kwahiyo slaa hakumuita lowasa fisadi enhee mbona ndio alimpokea chadema??? We jamaa nmegundua ni mnafki sana hta hukuwahi kuwa chadema wala team slaa...... nmeshakupa mifano hapo ya jinsi tunavyoendeleza vita ya ufisadi ila wwe umekalia lowasa tu unaacha yona na chenge!!! Ndio maana hatuendelei
 
Kama alimpokea mbona aliachana na CDM?
 
Maneno ya kwamba Dr Slaa aliacha Chadema kwa sababu ya mkewe ni maneno ya Kijinga sana. Yeye alikataa kumpokea mtu aliyemuita na anayeamini kuwa ni mojawapo ya Mafisadi. Ndio maana kawaacha na unafiki wenu ili mlambe viatu vya Bwana Mkubwa.
 
Hayo ameyakana lini??? Mabestie zake gwajima na mnyika walisema ivo ssa iweje leo hii wwe ambaye unaishi sijui kwela magharibi ndio ujue sababu ya slaa kuondoka chadema??

Kma hta yye anapita humu jukwaani atakudharau sana maana anaona unatetea usichokijua..... mbowe alikaa kimya hakuna aliyemtukana slaa maana ukweli wanaujua then wwe mpiga makelele oooh slaa aliondoka kisa fisadi lowasa wakati kila mtu anajua slaa ndio alimleta lowassa chadema

Funny
 
Back
Top Bottom