Swali:nishaurini ni muoe demiss au?

Swali:nishaurini ni muoe demiss au?

Mkuu jiandae kutembelewa usiku na Mshana Jr ili umfafanulie kuwa uko serious au unatania..?
 
Angalia Bahati yako Mkuu...
Je Unajua kuhonga?
Unajua Kuhonga Gari?
Je na Ukihonga Unasahau?
Kumbuka Unatakiwa Kusahau Jana ulihonga nini,ili Leo Uhonge Tena!
Pia Ukienda Dodoma,Sio Umpeleke li hotel LA Ajabu ajabu,Usiwahishe kumpeleka sijui Guest,Mtoto anapenda Hotel,na Kabla ya Hotel mpeleke viwanja vya wazi Vikali,usisahau kumtafutia Hati ya Kiwanja kwenye Jiji LA Dodoma,nakuambia Mauno utafaidi hadi Mimba atakubebea....
Aliniambia apendi pesa,yeye anachotaka Ni mapenzi ya kweli tu yani hadi Raha.
 
Hivi mwanamke anafaa kuolewa na wanaume wawili!?
 
Hebu jiangalie nyeti yako kama ipo kwanza!.. Hawa maengineer wanakuachia moyo wanabeba kitendea kazi specially huyu chuma ulete Demiss chamdeko
 
ukimuoa demiss rahisi sana kukutuka kwenye uzi wa Tanzia
mshana sio mtu mzur
i
 
Back
Top Bottom