Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,520
- 2,059
Povu sio ruksa na niko serious.
Nasubiria feedback yake.Amejua kuwa unapenda
Aje mwenyewe
Daaaaaaah uko seriously?huyu demiss si ni wa mshana huyu aisee kaka una hamu ya busha?? mana mzee wa kilinge hanaga masiara.
Sasa mbona demiss yeye akunambia jamani mimi mtoto wawatu ajue.Utapambana na ndumba za mshana Jr
Waswahili wanakwambia mke wa mtu sumu, cha mtu.........(malizia), nguo ya kuazima..............Sasa mbona demiss yeye akunambia jamani mimi mtoto wawatu ajue.
Ko nifanyeje?Waswahili wanakwambia mke wa mtu sumu, cha mtu.........(malizia), nguo ya kuazima..............
Cc mama Razack
Jipange tuKo nifanyeje?
Daaaaaaah unanitisha Sana yani.Muoe...ila kitakachokukuta usije sema hukuambiwa