Sawa ntashukuru sanaInawezekana wewe ni ndugu yangu,tujuane nitakusaidia kuwajua ndugu zako.
nawatafuta sa ngap na majukum yalivyotujaaWhy usiwatafute uwajue ndugu zako?
nawatafuta sa ngap na majukum yalivyotujaa
Hapana siwezi fanya hivyo. Nasikia tu wapo huko, na kwakuwa hawakuwa na time na mm hadi nakua, nmeshabase upande wa mama.Mtandaoni ama kwenye media
Mum ni wa wapi?nmeshabase upande wa mama
mhayaMum ni wa wapi?
Na mnyambo je!!?Mimi hili kwangu sitaki kabisa, nilishaapa siwezi date au kuolewa na mhaya, cause mm ni mhaya na siwajui upande wa baba kabisa. Cha kuolewa na ndugu yang kisa. Mana had mtake kuoana weng tunda lishaliwa.
Akitokea Tanga mjini πππ ukanda wa pwani mashallah sana.We jamaa unaongea ukweli mtupu binafsi hata demu awe mkali vip kama hatokei ukanda wa Pwani hawezi nivutia kwisha habar!!
Yakobo alitumikia Kwa Laban mjomba yake Ili apate kuoa hapo. Waarabu ndo tamaduni zao. Dini zipo lakini Mkuu amejaribu kuongelea Mila na desturi hizi ndo nguzo za ndoaMkuu, upo sawa kwa 80%.
1: Ni kweli kabisa ndoa haiunganishwi kwa upendo, maana kuna kipindi upendo hua unaisha.
2: Intermarriage ndo chanzo cha mmomonyoko wa maadili katika jamii.
But Mungu aliposema kwenu hakumaanisha makabila kama ulivyosema katika uzi wako, ulijaribu vizuri kuelezea lakini baadae ukatoka tena nje, "kwenu" iliyomaanisha pale ni watu wanaomwabudu Mungu mmoja huyo aliwapa hilo agizo.
Hi ni dhahiri kabisa maana hata huyo Mungu uliesema alisena uoe/kuolewa na watu wa kwenu ni Mungu wa Israel, na Israel ina makabila 12, so inakuaje?
Kwa kua swala la ndo ni la kirooho zaidi na ndo taasisi kubwa katika jamii Mungu alitaka watu wake waone wao kwa wao ili kutochangamana na roho za miungu mingine.