Swali ninalojiuliza

Hakuna anayetaka mbeleko ya mahakama. Naamini mahakama zetu zinatenda haki
 
Ikifika mahali wakaona Mhimili wa Mahakama sio rafiki kwao na hata kamatakamata haiwasaidii na wanaowaona wakorofi(dissidents) hawarudi nyuma,watu hawa watakuwa wamebakiwa na chaguo gani?

Nawaaza tu.
Hata mie hofu yangu ndo hiyo......
 
Hakuna anayetaka mbeleko ya mahakama. Naamini mahakama zetu zinatenda haki

Hahahhahahahahahah baada ya Mahakama kuamka ndiyo mmekuja kihivyo.Siyo nyie mliosema mko juu ya mahakama kwamba ni ule muhimili uliojichimbia zaidi??Mnafanay maamuzi chumbani kwanza??Mnachojua ni kukwapua raslimali za Taifa tu hakuna jipya
 
Leo hii mahakama zimekuwa watenda HAKI kwa CHADEMA?????...ila siku mkigaragazwa chini huko MAHAKAMANI msije hapa na kuanza kulia lia ya KUWA NI AMRI TOKA JUU......

Naamini hamtashindwa kuja kusema ni AMRI TOKA JUU.....maana nyie UKOVI kwa UNAFIKI WA KUSHINDWA KUSIMAMIA MNACHOKISEMA mpo vizuri sana
 
Ikifika mahali wakaona Mhimili wa Mahakama sio rafiki kwao na hata kamatakamata haiwasaidii na wanaowaona wakorofi(dissidents) hawarudi nyuma,watu hawa watakuwa wamebakiwa na chaguo gani?

Nawaza tu.
Umewaza kwa sauti kama niwazavyo siku zote mkuu.
Nadhani hapo watakuja na mbinu ambayo sitaki kuiamini lakini mawazo yangu yananipeleka huko.
Nothing else than silen.... those dissidents
 
Ikifika mahali wakaona Mhimili wa Mahakama sio rafiki kwao na hata kamatakamata haiwasaidii na wanaowaona wakorofi(dissidents) hawarudi nyuma,watu hawa watakuwa wamebakiwa na chaguo gani?

Nawaza tu.
wakorofi wa asili ya kigaidi wataendelea kushughulikiwa usiku na mchana...wakati wa mvua au jua.
 
Leo hii mahakama zimekuwa watenda HAKI kwa CHADEMA?????...ila siku mkigaragazwa chini huko MAHAKAMANI msije hapa na kuanza kulia lia ya KUWA NI AMRI TOKA JUU......

Naamini hamtashindwa kuja kusema ni AMRI TOKA JUU.....maana nyie UKOVI kwa UNAFIKI WA KUSHINDWA KUSIMAMIA MNACHOKISEMA mpo vizuri sana
Taratibu mahakama zinaanza kuwapuuza na vikesi vyenu uchwara, mtabaki na policcm wenu.
 
Ikifika mahali wakaona Mhimili wa Mahakama sio rafiki kwao na hata kamatakamata haiwasaidii na wanaowaona wakorofi(dissidents) hawarudi nyuma,watu hawa watakuwa wamebakiwa na chaguo gani?

Nawaza tu.
Kutengeneza tukio na kulima risasi. Kwa sasa hii mbinu ya kuwachosha bado inafaa sana. Kamata laza ndani siku kadhaa mke anapata nafasi ya kwenda magendo swafi.
 
Back
Top Bottom