Swali: Ni member gani hapa JamiiForum ana CV nzuri na safi?

Kwani hapa msikitini au kanisani ambako padri haulizwi? Em jieleze fastaa

Mbona unakoroga mambo??
Kama huna cha kuongea piga kimya tu,- Haikugharimu.
Na kwa taarifa yako tu;
Sina hakika na huko kwingine ila msikitini maswali mwanzo mwisho-Hivyo yani.
Si mada ya hapa hii ila muhimu kuwekana sawa.
 
Usitake niandike utakavyo wewe, mimi kuandika tofauti na wewe ndio maana ya forum. Ukiweka thread na ukataka majibu uyapendayo we kaa nayo tu.
 
Usitake niandike utakavyo wewe, mimi kuandika tofauti na wewe ndio maana ya forum. Ukiweka thread na ukataka majibu uyapendayo we kaa nayo tu.
Kwahiyo unataka upotoshe ukweli kisha uambiwe hongera?
Mchango wako lazima uwe na kichwa, miguu na mwili vinginevyo utapuuzwa huoni mantiki hapo?
Ukiongea pumba zaidi nakutukana kwa kukupuuza maana inaelekea hata umekosea wapi bado hujajua na huelekei kutaka kuelekezwa.
Pole.
 
Lakini ya mke wangu janeth1 imezidi mpaka mimi mwenyewe naona wivu

waoh husband wangu....sie tuna share vyote yangu yako....afu nimekuona unapita mitaa ya mulshababu flani huko juu usirudie bana me staki kukupoteza utaripuliwa bure hawa viumbe wana hasira muda wote....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom