Swali ni Kama Mwigulu Ana Hoja na Sio Vinginevyo!!

hapa heshima yako iko wapi ewe mwana wa malechela!!!!

- Kumbe ukienda kunagalia show la wanamuziki ukapigwa picha umesimama na wananchi mnaangalia show la vijana wa Taifa hili ambao ni wapiga kura 65% wa mwaka 2013 unakuwa huna heshima? Really? ha1 ha1 ha! ha! ok back to the ishu je kiongozi asiye na heshima kwa familia yake anaweza kuheshimu wananchi na taifa?

Le Mutuz
 
Nimepita tu, sikufahamu wewe, lakini nimeelewa kwanini wanakuponda. Nilisoma ile sms anayotuhumiwa nayo Mh Mbowe. Sikuona hata dalili ya kukosa uaminifu kwa familia.Nakumbuka pia ilikuwa addressed kwa msimamizi wa shughuli za bunge or so, na siyo kwa mwanamke . But I know what you are trying to do. Maisha ya kusaka mkate ni magumu sana dogo, keep it up !

- What a genius!!! so far hujaona tatizo lolote na hizi ishus, great wasalimie sana!!

Le Mutuz
 
usisahau
4.ameshiriki kumuua chacha wangwe
5.ameshiriki mara kadhaa kufanya jaribio la kumuwekea sumu ZZK
6.Ni mkabila
7.procurement officer na supplier ni mwenyewe ndani ya CDM
8.Yuko too local,mburula goigoi ana uwezo mdogo sana wa kujenga hoja
9.Anapenda sana mialiko ya kimya kimya ikulu,(alienda kinyemela obama alipofika TZ )
10.Amezaa nje ya ndoa hivyo basi anaungana moja kwa moja chama kimoja na babu slaa
 
WanaJF,

Katika hali isiyokuwa ya kawaida bungeni, wabunge wa CHADEMA kwa umoja wao pale bungeni (except Zitto), wamesimama na kumtetea mhe. Mbowe kuhusu kashfa yake na Joyce Mukya kuwa ni jambo binafsi hivyo sio vyema kujadiliwa bungeni.

Wabunge hao wa CHADEMA bila aibu yoyote walipaza sauti zao tena kwa kujiamini kuwa wanatetea jambo sahihi, huku kwa muda mrefu wakitumia maneno kama vile, nanukuu, "hapa bungeni wote sisi tuna mahawara" wengine wakiongezea kwamba "tukiweka mambo hadharani humu hakuna atakae baki msafi" nk

Itakumbukwa hivi karibuni mhe Mbowe amepigwa kombora na mhe Mwigulu kuhusu kutumia madaraka yake vibaya kwa kumtumia mbunge wake wa viti maalumu kimapenzi wakati maadili ya bunge yanazuia vitendo hivyo.

Aidha, kashfa hiyo pia ya bwana Mbowe imeweka ndoa ya kigogo huyo wa CHADEMA rehani kwani inasemekana kuwa, kwa muda wote ambao mhe Mbowe amekuwa akijaribu kumtafuta mke wake, bibi Lilian Mtei, hakupata mafanikio kwani simu ilikuwa ikiita bila kupokelewa kwa muda mrefu.
 
Kikwete aliyenunua urais kwa mabilioni, Lowassa anayetaka naye kununua urais kwa mabilioni na Mkapa mwizi na fisadi aliyeinajisi Ikulu kwa kufanya biashara ndani ya Ikulu.
 
si tu la binafsi bali halipo kabisa. Mwigulu aliona Mbowe hayupo nae akapata nafasi ya kubwabwaja.
 
usisahau
4.ameshiriki kumuua chacha wangwe
5.ameshiriki mara kadhaa kufanya jaribio la kumuwekea sumu ZZK
6.Ni mkabila
7.procurement officer na supplier ni mwenyewe ndani ya CDM
8.Yuko too local,mburula goigoi ana uwezo mdogo sana wa kujenga hoja
9.Anapenda sana mialiko ya kimya kimya ikulu,(alienda kinyemela obama alipofika TZ )
10.Amezaa nje ya ndoa hivyo basi anaungana moja kwa moja chama kimoja na babu slaa

Nikupongeze mkuu kwa kuongeza nondo.
 
- Kaka unajaribu kukwepa swali gumu kwa kutumia jibu rahisi, hapa tunajadili Taifa sio Mwigulu swali ni je Kiongozi asiye heshima kwa familia yake atakuwa na heshima kwa Taifa na wananchi waliomchagua je inawezekana hiyo?

Le Mutuz

Hivi Chadema ni kiongozi gani mwenye maadili? Babu kalawiti watoto wa kiume kanisani kalikimbia kanisa; leo anaishi na kimada hii misekule ya Chadema inamuita mke; hivi mzee wa zaidi ya 75 kweli anastahili kuishi na kimada? Kama ni mchumba ninavyojua mimi huwa anaishi kwa wazazi wake hadi atakapochukuliwa rasmi na mumwewe; hili la Mbowe nalo halitushangazi ni tabia za kidj isipokuwa anazifanya mahali pasipohusika; hapa watakuja wale waganga njaa akina Ben Saanane kutetea wazinifu wao watabadili ID uzuri wenyewe akili za misekule hazibadiliki!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom