Sitaki kuwa biased ila naomba niseme hivi, kwa wakati kama huu kwa Taifa letu sio sahihi sana kuanza kujadili maisha binafsi ya watu kuliko issues kubwa mbele yetu, kuna suala la gesi ambalo limeshapoteza maisha ya watu kule Mtwara, mafuriko na ajli za barabarani, Uchumi unadidimia na maisha yanazidi kuwa mabaya. Tunapojadili haya tuangalie na wingi wa zero zinazoongezeka mashuleni tukijiuliza ni nini hatma ya watoto wetu hawa? Tunapoyajadili hayo maisha yao binafsi tujiulize pia kuhusu KODI zinazoongezeka na kuzalishwa kila siku huku tukiendelea kuumia.
Issues za Malecela anauza mabinti wa Bongo, Mwigulu kafumaniwa na mke wa Mtu, Mbowe kamtafuna Mukya au Slaa sijui anatembeanaMchumba wa mtu, HAYANA NAFASI KWA SASA.
Sasa Willy, Si umwambie Kapuya aende Mahakamani ili ukweli uanikwe? Umemsikia Jaji Manento alivyosema kuhusu Kapuya?- Wiki nne zilizopita Wa-Tanzania tuliamshwa na kishindo kikubwa katika kurasa za mbele za Gazeti moja maarufu sana hapa nchini, likilia kwa sauti kubwa sana kwamba Mbunge mmoja wa chama tawala amefanya faulo inayohusiana na msichana mdogo na hata ilipofahamika kwamba ukweli wa habari hiyo una utata
Serikali imeshafungia magazeti mengi sana. Unataka kusema Serikali inaliogopa hilo gazeti kwa kiwango kikubwa sana kiasi cha kuacha Mbunge na Waziri mwandamizi na Mjumbe wa NEC aendelee kutangazwa kuwa ANASAMBAZA UKIMWI kwa vitoto vya miaka chini ya 18?bado gazeti likaendelea kulilia kwamba kiongozi yule na chama kizima anachotoka hawana maadili kwa kutoheshimu familia, taifa hili tukajikuta kwenye mjadala mzito sana na hasa kwenye mitandao ya kijamii as je hizi ishus za viongozi kutokuwa waaminifu kwa familia zao ni ishu ya taifa na maadili ya uongozi au ni ya binafsi na haihusu kabisa taifa?
Kulikuwa na umuhimu wa viongozi hao kujitokeza kutamka kama unavyotaka? Besides, huwa unapendezwa na kujitokeza kwa viongozi wa upinzani kutetea au kupinga kitu? Wangejitokeza na kusema kama unavyotaka nini kingetokea?Sikuona kiongozi yoyote wa Upinzani akijitokeza kusema kuwa ni mambo ya binafsi hayahusu taifa.
Ni kigezo gani umetumia kusema huo ni mjadala ni mzito? Yani jitu lenye hadhi ya Uprofessa, KUSAMBAZA UKIMWI KWA VITOTO VYA MIAKA 16 unataka kufananisha na ishu ya Mbowe na Mukya?- Juzi kwa mara nyingine tena Taifa hili tumeamshwa na maneno kama haya tena this time yakiwa yanamuhusu Kiongozi mkubwa wa Upinzani nchini na hata bungeni, kwa mara nyingine tena taifa tukaingia kwenye mjdala mzito kama hayo ni mambo ya taifa au ya binafsi,
Hahahahahaaa......kwa mshangao mkubwa lile gazeti maarufu lililokuwa linalia sana kule nyuma kwa Kuhusu mbunge wa chama tawala na haya mambo, halikugusa kabisa habari hii kulikoni?
Wewe unaona ni hoja ya kitaifa? Kwa vigezo vipi?Na kwa mara ya kwanza wamejitokeza wabunge wengi wa kutetea kwamba ni hoja za binafsi hazihusu Taifa!!
- Ishus muhimu kwa taifa huwa kuna tunazifikiria na kuzisema na kuna ambazo hatuzifikiri na hata kama tunazijua huwa hatutaki kuzisema lakini Demokrasia huwa ina njia zake za kuzileta ishus hizo ili zijadiliwe na kuwepo na msimamo wa kimsingi unaokubalika na taifa au jamii kwa ujumla, hili la matatizo ya viongozi kuwa sio waaminifu kwa familia zao Demokrasia sasa ina-demand tulijadili hili taifa, bila kuogopana wala kuangaliana usoni........!!
Inaendelea kwenye gazeti la Jambo Leo Jumapili. "UCHAMBUZI WA SIASA"
Le Mutuz
- Wiki nne zilizopita Wa-Tanzania tuliamshwa na kishindo kikubwa katika kurasa za mbele za Gazeti moja maarufu sana hapa nchini, likilia kwa sauti kubwa sana kwamba Mbunge mmoja wa chama tawala amefanya faulo inayohusiana na msichana mdogo na hata ilipofahamika kwamba ukweli wa habari hiyo una utata bado gazeti likaendelea kulilia kwamba kiongozi yule na chama kizima anachotoka hawana maadili kwa kutoheshimu familia, taifa hili tukajikuta kwenye mjadala mzito sana na hasa kwenye mitandao ya kijamii as je hizi ishus za viongozi kutokuwa waaminifu kwa familia zao ni ishu ya taifa na maadili ya uongozi au ni ya binafsi na haihusu kabisa taifa? Sikuona kiongozi yoyote wa Upinzani akijitokeza kusema kuwa ni mambo ya binafsi hayahusu taifa.
- Juzi kwa mara nyingine tena Taifa hili tumeamshwa na maneno kama haya tena this time yakiwa yanamuhusu Kiongozi mkubwa wa Upinzani nchini na hata bungeni, kwa mara nyingine tena taifa tukaingia kwenye mjdala mzito kama hayo ni mambo ya taifa au ya binafsi, kwa mshangao mkubwa lile gazeti maarufu lililokuwa linalia sana kule nyuma kwa Kuhusu mbunge wa chama tawala na haya mambo, halikugusa kabisa habari hii kulikoni? Na kwa mara ya kwanza wamejitokeza wabunge wengi wa kutetea kwamba ni hoja za binafsi hazihusu Taifa!!
- Ishus muhimu kwa taifa huwa kuna tunazifikiria na kuzisema na kuna ambazo hatuzifikiri na hata kama tunazijua huwa hatutaki kuzisema lakini Demokrasia huwa ina njia zake za kuzileta ishus hizo ili zijadiliwe na kuwepo na msimamo wa kimsingi unaokubalika na taifa au jamii kwa ujumla, hili la matatizo ya viongozi kuwa sio waaminifu kwa familia zao Demokrasia sasa ina-demand tulijadili hili taifa, bila kuogopana wala kuangaliana usoni........!!
Inaendelea kwenye gazeti la Jambo Leo Jumapili. "UCHAMBUZI WA SIASA"
Le Mutuz
Mwigulu alipofumaniwa Igunga kwa hiyo HANA heshima Jimboni kwake na Taifa kwa ujumla?
Au kukosa HESHIMA kwako ni kwa wapinzani tu?
umeandika nini sasa? Aibu ndugu yangu kaa kimya ufiche ujinga wako.anapenda kula na wasichana wazuri akiwa anawaonga ubunge, nyumba hapo hapo anamshawishi watumie ela za wananchi kuvinjari dubai
mbowe aliomba ruhusa kwa katibu wa bunge naye akaridhia..mbowe kumchafua ni kazi sana especially kwenye issue za hela sababu ukoo wake una hela kabla hata kikwete hajtoka msoga kulima viazi na kuja daslamMwigulu ni Mbunge aliyetupasha habari kuwa Kuna wabunge wanatumbua pesa za bunge kwa shughuli maalum za kihawala Dubai.
Hapa umewashika pabaya bavicha.
Cheo alichopewa mbowe kimemfanya ajiingize kwenye migogoro ya kindoa. Mbowe tunaomba ujiuzulu umekiaibisha chama.
umeandika nini sasa? Aibu ndugu yangu kaa kimya ufiche ujinga wako.
Sasa Willy, Si umwambie Kapuya aende Mahakamani ili ukweli uanikwe? Umemsikia Jaji Manento alivyosema kuhusu Kapuya?
Serikali imeshafungia magazeti mengi sana. Unataka kusema Serikali inaliogopa hilo gazeti kwa kiwango kikubwa sana kiasi cha kuacha Mbunge na Waziri mwandamizi na Mjumbe wa NEC aendelee kutangazwa kuwa ANASAMBAZA UKIMWI kwa vitoto vya miaka chini ya 18?
Kulikuwa na umuhimu wa viongozi hao kujitokeza kutamka kama unavyotaka? Besides, huwa unapendezwa na kujitokeza kwa viongozi wa upinzani kutetea au kupinga kitu? Wangejitokeza na kusema kama unavyotaka nini kingetokea?
Ni kigezo gani umetumia kusema huo ni mjadala ni mzito? Yani jitu lenye hadhi ya Uprofessa, KUSAMBAZA UKIMWI KWA VITOTO VYA MIAKA 16 unataka kufananisha na ishu ya Mbowe na Mukya? Hahahahahaaa...... Wewe unaona ni hoja ya kitaifa? Kwa vigezo vipi?
Sijaona cha maana ulichoandika....
Hivi, kiongozi gani amekosa heshma?- Kaka unajaribu kukwepa swali gumu kwa kutumia jibu rahisi, hapa tunajadili Taifa sio Mwigulu swali ni je Kiongozi asiye heshima kwa familia yake atakuwa na heshima kwa Taifa na wananchi waliomchagua je inawezekana hiyo?
Le Mutuz
chigwemisi mnahangaika sana kutafuta attention ya jamii, nikuambie kwa mara nyingine ni kwamba:-
Watanzania wameshawachoka ile mbaya na lichama lenu ccm. Ndio maana mkifanya kosa la kawaida kupelekwa polisi mnapigwa mawe ya kukuueni (Mabina style)
ni heri ukaisikia sauti leo ukabadilika.
Asante kwa kuanzisha thread ya kufurahisha genge...Nasisitiza, hakuna cha maana ulichoandika- Woow kaka unanitatanisha kidogo hujaona cha maana nilichoandika lakini umekuja kujibu tena word to word, umenitisha sana kwa hiyo kwa majibu haya mapesi basi hoja ifungwe maana wewe mkuu wa Dunia hujaona cha maana kilichaondikwa, duh!! Sasa imagine wewe ni Kiongozi wa taifa!!
Le Mutuz
- Kaka unajaribu kukwepa swali gumu kwa kutumia jibu rahisi, hapa tunajadili Taifa sio Mwigulu swali ni je Kiongozi asiye heshima kwa familia yake atakuwa na heshima kwa Taifa na wananchi waliomchagua je inawezekana hiyo?
Le Mutuz