Swali ni Kama Mwigulu Ana Hoja na Sio Vinginevyo!!

Hivi kuhusu MAUWAJI ya Operation TOKOMEZA, Mwigulu amesema nini? Au hilo yeye halioni?

Nasubiri kuona kama atajiandikisha kumuondoa Pinda au yeye atalia na Mbowe kuwa Uzinifu wake ndiyo umesababisha watu kuuawa na kuteswa na mali zake kuteketea au kuibiwa.

Sikiliza LIVE Bunge: Arusha Mambo FM Radio - Home
 
- Well lets say wewe ni mtoto wa baba yako kwa sababu una mawazo kama haya, ila wale wote tusiokuwa na mawazo kama yako basi huenda sio watoto wa baba zetu wamesingiziwa that is wasap, inajisema wazi na mapema wewe ni mtu aina gani hasa uwezo wako wa kufikiri na kuchambua ishus za Taifa kwamba wale wote wasio na mawazo kama yako basi baba zao wamesingiziwa, wooow!!

- Ok back to the point, kama ninakuelewa vizuri tuhuma za Kapuya hazikutihibishwa mpaka leo, lakini za Mbowe zimethibistishwa na pili kama za Kapuya zikithibishwa bado kuna kesi ya Kutumia madaraka vibaya kwa wote wawili, unasema uaminifu kwa familia zao sio ishu hapa, well that is your way of looking at it ila Demokrasia inatoa nafasi ka wengine kama mimi kufikiria tofauti na wewe na bado tukawa watoto wa baba zetu, ha1 ha! ha1 ha!

Le Mutuz

Nyinyi kina malecela akil sijui miliziacha wapi, tofautisha mtu mzima mbunge na mtoto under 18years. Kama ni kweli mbowe aliomba ndo maana ya kuandika memo, mwenye maamuzi n aliyeombwa, KUB anaakili sana kama angeikatisha kwa nguvu bado mwenye makosa angekuwa Mwanamke aliyekuwa na dhamana, sio mbowe ambaye may be alitaka demu wake aje. Wangap mkitaka mademu zenu waje munauliza kama ofisin hakuna kazi????
 
WanaJF,

Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifanya uchunguzi kwa viongozi wa CHADEMA ili kuweza kutambua aliye msafi, ila matokeo ya uchunguzi wangu yamenishtua sana.

Uchunguzi wangu ulikuwa umezingatia protokali, hivyo nilianza na viongozi wa kitaifa kama awamu ya awali ya uchunguzi wangu.

Uchunguzi wangu ulimmilika mwenyekiti wa CHADEMA, bwana Mbowe, ambae kwa kipindi kirefu amekuwa akijipambanua kuwa ni muadilifu, ila kwa sasa mnafiki huo ameanikwa mbele ya umma na wote tunajua kuwa ni mchafu na mfuska. Haya ni baadhi tu ya MAOVU yanayofanywa na fuska huyo:

1) Ni mwenyekiti pekee wa chama cha siasa nchini ambae ameficha pesa Uswis.

2) Ni mwenyekiti pekee hapa nchini anae tembea (mahusiano ya kingono) na wabunge wa viti maalumu (matumizi mabaya ya madaraka).

3) Ni mwenyekiti pekee ambae hapendi demokrasia, hapendi ushindani wa kisiasa na hapendi kusikia mawazo mapya na chanya.

Baada ya kupata haya matokeo nilijiridhisha kuhitimisha kuwa, CHADEMA ndio chama chenye mwenyekiti bomu, kilaza na goigoi.

Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, sidhani kama kuna haja ya kumpambanua kwa kuwa yeye mwenyewe amejianika kwa umma kuwa ni mtu ambae anaendekeza ngono,fisadi na pia ni mnafiki, mpika majungu na mlaghai.
 
Watakuja hapa bavicha uwavumilie ndugu yangu, midomo yao haina tofauti na vyoo vya stendi.
 
Jadili basi hata kinachoendelea bungeni kwa sasa na sio kila muda kuanzisha thread za CDM zinachosha na kuhusu kupanda kwa umeme na gesi na maisha magumu kwa watanganyika
Wewe huna hata moja la kujadili kuhusu mustakabali wa nchi yetu zaidi ya kuanzisha Thread zinazoihusu CDM tuu
 
WanaJF,

Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifanya uchunguzi kwa viongozi wa CHADEMA ili kuweza kutambua aliye msafi, ila matokeo ya uchunguzi wangu yamenishtua sana.

Uchunguzi wangu ulikuwa umezingatia protokali, hivyo nilianza na viongozi wa kitaifa kama awamu ya awali ya uchunguzi wangu.

Uchunguzi wangu ulimmilika mwenyekiti wa CHADEMA, bwana Mbowe, ambae kwa kipindi kirefu amekuwa akijipambanua kuwa ni muadilifu, ila kwa sasa mnafiki huo ameanikwa mbele ya umma na wote tunajua kuwa ni mchafu na mfuska. Haya ni baadhi tu ya MAOVU yanayofanywa na fuska huyo:

1) Ni mwenyekiti pekee wa chama cha siasa nchini ambae ameficha pesa Uswis.

2) Ni mwenyekiti pekee hapa nchini anae tembea (mahusiano ya kingono) na wabunge wa viti maalumu (matumizi mabaya ya madaraka).

3) Ni mwenyekiti pekee ambae hapendi demokrasia, hapendi ushindani wa kisiasa na hapendi kusikia mawazo mapya na chanya.

Baada ya kupata haya matokeo nilijiridhisha kuhitimisha kuwa, CHADEMA ndio chama chenye mwenyekiti bomu, kilaza na goigoi.

Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, sidhani kama kuna haja ya kumpambanua kwa kuwa yeye mwenyewe amejianika kwa umma kuwa ni mtu ambae anaendekeza ngono,fisadi na pia ni mnafiki, mpika majungu na mlaghai.

1530510_1443105502579354_1333028245_n.jpg

Mkuu ujumbe huo, acha kulia lia
 
huu ndio naita ujuhaa wa kiwango cha juu, unasema Mbowe kaficha mamilioni Uswiss , well , serikali ya Ccm inaogopa nini kumshitaki , ina dola, ina usalama wa taifa , bunge na mahakama....so unatuthibitishia sababu nyingine kwanini ccm inapaswa kuondolewa
 
we jamaa unahangaika sana kwa kutetea uovu wa chama chako kilichopoteza mwelekeo na kubaki kupigana hovyo.
 
- Wiki nne zilizopita Wa-Tanzania tuliamshwa na kishindo kikubwa katika kurasa za mbele za Gazeti moja maarufu sana hapa nchini, likilia kwa sauti kubwa sana kwamba Mbunge mmoja wa chama tawala amefanya faulo inayohusiana na msichana mdogo na hata ilipofahamika kwamba ukweli wa habari hiyo una utata bado gazeti likaendelea kulilia kwamba kiongozi yule na chama kizima anachotoka hawana maadili kwa kutoheshimu familia, taifa hili tukajikuta kwenye mjadala mzito sana na hasa kwenye mitandao ya kijamii as je hizi ishus za viongozi kutokuwa waaminifu kwa familia zao ni ishu ya taifa na maadili ya uongozi au ni ya binafsi na haihusu kabisa taifa? Sikuona kiongozi yoyote wa Upinzani akijitokeza kusema kuwa ni mambo ya binafsi hayahusu taifa.

- Juzi kwa mara nyingine tena Taifa hili tumeamshwa na maneno kama haya tena this time yakiwa yanamuhusu Kiongozi mkubwa wa Upinzani nchini na hata bungeni, kwa mara nyingine tena taifa tukaingia kwenye mjdala mzito kama hayo ni mambo ya taifa au ya binafsi, kwa mshangao mkubwa lile gazeti maarufu lililokuwa linalia sana kule nyuma kwa Kuhusu mbunge wa chama tawala na haya mambo, halikugusa kabisa habari hii kulikoni? Na kwa mara ya kwanza wamejitokeza wabunge wengi wa kutetea kwamba ni hoja za binafsi hazihusu Taifa!!

- Ishus muhimu kwa taifa huwa kuna tunazifikiria na kuzisema na kuna ambazo hatuzifikiri na hata kama tunazijua huwa hatutaki kuzisema lakini Demokrasia huwa ina njia zake za kuzileta ishus hizo ili zijadiliwe na kuwepo na msimamo wa kimsingi unaokubalika na taifa au jamii kwa ujumla, hili la matatizo ya viongozi kuwa sio waaminifu kwa familia zao Demokrasia sasa ina-demand tulijadili hili taifa, bila kuogopana wala kuangaliana usoni........!!

Inaendelea kwenye gazeti la Jambo Leo Jumapili. "UCHAMBUZI WA SIASA"

Le Mutuz

:bange:
 
Nyinyi kina malecela akil sijui miliziacha wapi, tofautisha mtu mzima mbunge na mtoto under 18years. Kama ni kweli mbowe aliomba ndo maana ya kuandika memo, mwenye maamuzi n aliyeombwa, KUB anaakili sana kama angeikatisha kwa nguvu bado mwenye makosa angekuwa Mwanamke aliyekuwa na dhamana, sio mbowe ambaye may be alitaka demu wake aje. Wangap mkitaka mademu zenu waje munauliza kama ofisin hakuna kazi????

- Kaka unasema nini tuliza boli subiri Jumapili bomu linakuja live mbichi na mbivu zitajulikana, hoja ni je kukosa umainifu kwa familia yako kunaweza kuwa tatizo kwa taifa au hapana? Kama huwezi kua muaminifu wa familia yako itakuwaje Taifa na wananchi usio ishi nao?

LE Mutuz
 
ndio maana katika nchi hii mambo mengi hayaendi hivi na wewe mleta mada ni mmoja wa wasomi wa nchi hii?....maana hoja zako kama unaoga mbele za watu....
 
Hata wewe unajadili watu badala ya hoja! Na kama si uduni wa kufukiri,
1 Unawezaje kuandika makara kujadili mambo binafsi ya mtu.
2 Kama issue ni Ubunge Ulishindwaje kandika Makala ya Ndoa Kati Kibibi kbunge cha wa miaka 60 na kijana wa miaka26
3 Kazi ya uchunguzi yaujua nani kasema kweli na nani ni tata umesomea wapi?
Brother sijui kama na wewe ni mtoto wa dada yangu kama Ipyana. Kama kaka yako nakushauli 'think beyond CCM and CHADEMA.''
 
- Kaka unasema nini tuliza boli subiri Jumapili bomu linakuja live mbichi na mbivu zitajulikana, hoja ni je kukosa umainifu kwa familia yako kunaweza kuwa tatizo kwa taifa au hapana? Kama huwezi kua muaminifu wa familia yako itakuwaje Taifa na wananchi usio ishi nao?

LE Mutuz
hivi ukiambiwa uorodhesha matumizi mabaya ya madaraka utaweka hilo la Mbowe kwenye top ten???
 
Back
Top Bottom