Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,299
- 9,797
Kuna mtu kasema hapo wakat wa bwana ukifika kila kitu kitakuwa sana
ha ha ha tatizo bwana hataki kurudi mkuuKuna mtu kasema hapo wakat wa bwana ukifika kila kitu kitakuwa sana
ha ha ha jaribu kuvaa mavazi mazuri ya umama,na tabia pia iwe nzuri,na uwe mchangamfu/unacheka na kila mtu na usiwe mwepesi wa kukasirika,hapo lazima ndoa uione.
ha ha ha ikishindikana amsubiri bwana mpaka atakaporudiahahahahah wa 32 age itabd ndo waanze hiyo kazi ya kondoo
Ahahahaah na harudi leo wala keshoha ha ha ikishindikana amsubiri bwana mpaka atakaporudi
ha ha ha tatizo bwana hataki kurudi mkuu
umenikumbusha mbali mkuu sana nimechekaKila nyani na mlima wake...Kwanini asiolewe?kuhusu wanaume kutaka vipya,huwa ni sehem ya utoto tu...ukikuwa unaelewa kuwa upya si muhm kama ulivyokuwa unafikiri.Mwezi uliopita...niliudhuria harusi ya nayemfaham...binti anamiaka 36 sasa ha hana mtoto...hata anayemuoa hana mtoto.
Kila nyani na mlima wake..Mwanamke wa miaka 32 je kama yupo single hana mtoto akitaka kuolewa ataolewa kweli ??
Kwa maana wanaume wanataka vipya ??
Hii inakuwaje???
Umetukana kama wewe umeforsiwa kumuoa humu kujiona ni kwingi na bangi wavutaji ni wengi kupunguza stress .Huyo kuzaa iko shida atakuja nijazia choo tu, na kutafuna hela yangu.
Labda aolewe na Mgane, lkn kijana wa umri wake asahau, na wanapendaga hao! heee!
Mashine safi ni kuanzia 15-30yrs, huyo asipozaa au ikiziba, naweza samehe!
Kumbe ndiyo umri wako huu katoto! jitahidi
Na ajue kulichezeshaMuhimu awe na tako
hapanaUmetukana kama wewe umeforsiwa kumuoa humu kujiona ni kwingi na bangi wavutaji ni wengi kupunguza stress .
Truehapana
Katoto kazuri usijali kwa miaka yako 32 bado ni mtoto hasa na unaolewa.True
Endelea kudengua dengua tu, ukishafika miaka hiyo utaenda kujiunga Love Connect, lolMwanamke wa miaka 32 je kama yupo single hana mtoto akitaka kuolewa ataolewa kweli ??
Kwa maana wanaume wanataka vipya ??
Hii inakuwaje???
Hujakuaga tu uache bangi kwa maana humu wenzako wametuliza stress na uvutaji wa bangi bado tu wewe uko vile vile kwanza wewe ni jinsia gani kwa maana ninakumbuka vizuri ulikuwa unapenda sana mambo ya ushoga ukaniacha hoi.Endelea kudengua dengua tu, ukishafika miaka hiyo utaenda kujiunga Love Connect, lol
Nikikuoa ndio nitaacha kuvuta bangi,Hujakuaga tu uache bangi kwa maana humu wenzako wametuliza stress na uvutaji wa bangi bado tu wewe uko vile vile kwanza wewe ni jinsia gani kwa maana ninakumbuka vizuri ulikuwa unapenda sana mambo ya ushoga ukaniacha hoi.
So tujuze![]()