Swali nauliza

Swali nauliza

ahahahahah wa 32 age itabd ndo waanze hiyo kazi ya kondoo
ha ha ha jaribu kuvaa mavazi mazuri ya umama,na tabia pia iwe nzuri,na uwe mchangamfu/unacheka na kila mtu na usiwe mwepesi wa kukasirika,hapo lazima ndoa uione.
 
Kwanini asiolewe?kuhusu wanaume kutaka vipya,huwa ni sehem ya utoto tu...ukikuwa unaelewa kuwa upya si muhm kama ulivyokuwa unafikiri.Mwezi uliopita...niliudhuria harusi ya nayemfaham...binti anamiaka 36 sasa ha hana mtoto...hata anayemuoa hana mtoto.
Kila nyani na mlima wake...
 
Huyo kuzaa iko shida atakuja nijazia choo tu, na kutafuna hela yangu.

Labda aolewe na Mgane, lkn kijana wa umri wake asahau, na wanapendaga hao! heee!

Mashine safi ni kuanzia 15-30yrs, huyo asipozaa au ikiziba, naweza samehe!

Kumbe ndiyo umri wako huu katoto! jitahidi
Umetukana kama wewe umeforsiwa kumuoa humu kujiona ni kwingi na bangi wavutaji ni wengi kupunguza stress .
 
Katoto kazuri usijali kwa miaka yako 32 bado ni mtoto hasa na unaolewa.

Ila angalia tu anaekuoa awe amekuzidi kwa sababu aliyekuzidi bila shakaatakuwa ana busara na anataka kutulis na kujenga familia,hatokuumiza.

Lakini hawa wanaovaa milegezo hawa hawana future na wako kwa ajili ya starehe zaidi na hawana muda wa kujenga familia,so watakuumiza

Period.
 
Mwanamke wa miaka 32 je kama yupo single hana mtoto akitaka kuolewa ataolewa kweli ??
Kwa maana wanaume wanataka vipya ??
Hii inakuwaje???
Endelea kudengua dengua tu, ukishafika miaka hiyo utaenda kujiunga Love Connect, lol
 
Endelea kudengua dengua tu, ukishafika miaka hiyo utaenda kujiunga Love Connect, lol
Hujakuaga tu uache bangi kwa maana humu wenzako wametuliza stress na uvutaji wa bangi bado tu wewe uko vile vile kwanza wewe ni jinsia gani kwa maana ninakumbuka vizuri ulikuwa unapenda sana mambo ya ushoga ukaniacha hoi.
So tujuze 🙄😳😳🤯🤯
 
Hujakuaga tu uache bangi kwa maana humu wenzako wametuliza stress na uvutaji wa bangi bado tu wewe uko vile vile kwanza wewe ni jinsia gani kwa maana ninakumbuka vizuri ulikuwa unapenda sana mambo ya ushoga ukaniacha hoi.
So tujuze
Nikikuoa ndio nitaacha kuvuta bangi,
Jinsia yangu ukuje saa 6 usiku utaijua katoto kazuri.
 
Back
Top Bottom