Swali mtihani wa STD 7 jana....

Jibu ni kwamba panya atakufa kwa kukosa hewa ya oksijeni

Nawe Usingetoa jibu mapema,
Ili Tuone jinsi vidume vya ChitChat vinavyopigwa ngwara na ChemshaBongo.
Chezeiya!!!

Wanawake Tuko Pembeni,kila mtu anamuangalia Laazizi wake jinsi anavyotolewa KnockOut na Chemsha Bongo.
 
kama hilo box litakuwa limetengenezwa kwa karatasi. Tegemea kutomkuta huyo panya wala hiyo nyama.
 
kwa style hii ya majibu napata mustakabali mzima wa Taifa la Tanzania. Teh! Great Sinker
 
Sisi tulisoma na masandiku ya chuma bba walikuwa wanakula mpaka viporo ndo sembuse hilo box lako la karatasi
Haya maduka ya sumu za panya mngewafundi hizo mbinu za mabox na nyama
 
Kitu cha kwanza panya atatia uoga na baada ya muda akiona kumetulia anakula nyama yote then atatoboa box then atachapa mwendo. Weka tick chap....

Hahaha unajua akili ikishapevuka unaweza ukajikuta hata swali la 1+1 pia jibu linakuwa gumu
 
Nawe Usingetoa jibu mapema,
Ili Tuone jinsi vidume vya ChitChat vinavyopigwa ngwara na ChemshaBongo.
Chezeiya!!!

Wanawake Tuko Pembeni,kila mtu anamuangalia Laazizi wake jinsi anavyotolewa KnockOut na Chemsha Bongo.

Hahahaa yaani rafiki mi nilijua wewe ndio utajibu wa kwanza bhanaaa
 
kama hilo box litakuwa limetengenezwa kwa karatasi. Tegemea kutomkuta huyo panya wala hiyo nyama.

kwenye mitihani ukifikiria hivyo ndugu yangu utakua unakosa...assumptions huwa zinahusika sana maana kwenye silabasi hakuna mahali wanafundisha panya anakula karatasi
 
kwa style hii ya majibu napata mustakabali mzima wa Taifa la Tanzania. Teh! Great Sinker

hehehe...swali lina mantiki ndugu, unajua wameweka kipande cha nyama ili wakulimit kufikiria zaidi ya kwamba panya ataishia kula hiyo nyama...
 
Sisi tulisoma na masandiku ya chuma bba walikuwa wanakula mpaka viporo ndo sembuse hilo box lako la karatasi
Haya maduka ya sumu za panya mngewafundi hizo mbinu za mabox na nyama

hahahah...kwa hiyo jibu lako lingewaje? panya ni feki au ungejibu huyo ni panya wa siku hizi!
 
Ngoja nijaribu tena, kwanza inategemea na kamba uliyotumia kumfungia. So the answer is panya atakula kile kipande cha nyama then anakata ile kamba then anasepa. Hujasema unafungia ndani ya box though.
 
hahaha kwa akili zetu hizi za kiutu uzima kweli tungekosa wote...mkuu majibu ya mitihani ya taifa ni ili tu watu wafaulu
 
Back
Top Bottom