Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Shemeji zangy mihanyenye wameumia sanani mabahiri ataenda ndugai tuuMwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi.
Utani kati ya kabila na kabila ni utamaduni ambao umekuwepo vizazi na vizazi.
Mara nyingi haya mambo ya utani, huwa hayaishii juu juu tu, huwa wanaenda mbali, hata misibani, watu hufanyiana utani.
Sasa kwa kuwa hayati JPM(R.I.P) mara nyingi katika mikutano yake, alikua akijinasibu yeye ni mtani wa makabila fulani fulani(mf.wagogo), katika kuuenzi utani, hayo makabila(watani wake) walitakiwa kwenda kufanya utani msibani Chatto.
kwanza itakua ni njia bora ya kumuenzi marehemu na utamaduni aliokua anaupenda sana,
lakini pia kwa kuwa tumehabarishwa ya kuwa karibia watu billion 4 dunia nzima wanafuatilia msiba huu mzito wa raisi wetu kipenzi, wakiona tukio la utani msibani watakua kwa namna moja au nyingine wamejifunza utamaduni wetu.
Mwili ukiwa unaingia mjini Chatto wauzuie, wafanye mambo yao ya utani kidogo halafu ndo wauruhusu.
Ndugai mtani wake mkubwa anaweza kuwawakilisha hawa wakonongo!Shemeji zangy mihanyenye wameumia sanani mabahiri ataenda ndugai tuu
Makao yanarudi Dar,Dom ilikuwa nguvu ya Magu tu.Hivi mama Samia ataweza kuwa anakaa Dodoma kweli na lile jua?
Mi najua wasukuma watani wao ni wanyamweziMwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi.
Utani kati ya kabila na kabila ni utamaduni ambao umekuwepo vizazi na vizazi.
Mara nyingi haya mambo ya utani, huwa hayaishii juu juu tu, huwa wanaenda mbali, hata misibani, watu hufanyiana utani.
Sasa kwa kuwa hayati JPM(R.I.P) mara nyingi katika mikutano yake, alikua akijinasibu yeye ni mtani wa makabila fulani fulani(mf.wagogo), katika kuuenzi utani, hayo makabila(watani wake) walitakiwa kwenda kufanya utani msibani Chatto.
kwanza itakua ni njia bora ya kumuenzi marehemu na utamaduni aliokua anaupenda sana,
lakini pia kwa kuwa tumehabarishwa ya kuwa karibia watu billion 4 dunia nzima wanafuatilia msiba huu mzito wa raisi wetu kipenzi, wakiona tukio la utani msibani watakua kwa namna moja au nyingine wamejifunza utamaduni wetu.
Mwili ukiwa unaingia mjini Chatto wauzuie, wafanye mambo yao ya utani kidogo halafu ndo wauruhusu.
Hhhhhhh hapanaMi najua wasukuma watani wao ni wanyamwezi
Wewe unaweza kutaniana na kaka yako? Huwajui Wasukuma wewe!Mi najua wasukuma watani wao ni wanyamwezi