Swali mipango miji: Mwenge ni Stand au Soko? (Picha)

Swali mipango miji: Mwenge ni Stand au Soko? (Picha)

Calnde

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2008
Posts
1,373
Reaction score
281
010320121014.jpg 010320121015.jpg 010320121016.jpg 010320121017.jpg 010320121018.jpg


Ukiwa hapa mwenge unaweza kutoelewa kama upo stand au sokoni!
 
Huwa nawaza, fikiri tuu soko la jioni hapa ubungo pembeni ya Songas! Mambo ya ajabu kabisa

kama ubungo ni hatari sana maana soko lipo high way hivyo gari likosea kidogo lazima lile vichwa ukiongeza na songas ndo balaa tupu selikari iko wap kwa haya mambo au wanasumbili ajali ndo wajue!
 
Ni uwanja wa fujo tu......wanafurahia kwa sababu wanakula kodi kotekote
 
ni vyote kwa pamoja soko na stand.
 
kama ubungo ni hatari sana maana soko lipo high way hivyo gari likosea kidogo lazima lile vichwa ukiongeza na songas ndo balaa tupu selikari iko wap kwa haya mambo au wanasumbili ajali ndo wajue!
serikali wala haijielewi kabisa.
 
two in one. kama umeenda kununua vitu ni sokoni na kama umeenda kupanda daladala ni stand. kwani unaonaje buguruni, k/koo, karume, ilala, kawe nk?
 
Umeona ee. Serikari iko likizo

Hii likizo yake kiboko maana Mwenge ni COCKTAIL ya kila vurumai; soko; mnada; stendi; kijiwe cha miteja, nk. Majira ya jioni tofauti ya vurumai katika kituo na ilivyokuwa Mtaa wa Kongo (enzi za msongamano wake wakiukweli) ni ndogo sana!!

Manispaa ya Kinondoni mpo wapi??Hata choo ya MANISPAA (jengo la stendi) haina usafi wa kuridhisha.....Yaani wao Manispaa ni kuangalia makusanyo tuuu......
 
Hii ndio tanzania yetu ya amani na upendo. Soko na stand vinapendana, shule na baa vinakaa pamoja, barabara ya magari makubwa na madogo, baisikeli, maguta, bajaji, mkokoteni na waenda kwa miguu vyote sehemu moja. Yaani mambo ni powa tuuuu!
 
Duuu lazima pawe vile na ile yote inatokana na pesa wanazopata wahusika wasimamizi wa stand hiii.
Kuna mtu anaitwa KESSY na wenzake wanachakarika sana kukusanya pesa wao hawajari wala kuangalia side effect hata kama utauza kinyesi poa tu ilimradi unatoa ushuru.

Nakama watu wangejua makusanyo ya ushuru wa magari na wafanya biashara wote wa stend ile na jinsi ilivyo rafu na mwenge ilivyo holela na chafu hakika huu ni ufisadi mwingine.

Bado sijajua mwenge inanufaikaje na uwepo wa standi hiyo.
 
Ni kwaida kwa mazingira ya miji midogo stand na soko huwa pamoja........ila hapa Mwenge ni utovu wa mipango kwa serikali..........Mwenge ilikuwa ni 'termial' enzi hizo mji ukiishia hapo......sasa hivi palipaswa kufungwa kabisa kama 'terminal' na vituo viwe pembeni mwa barabara kwa kuwa mji umeshakuwa
 
Mhmmm!! Mimi naona waligeuze tu kuwa soko maana halina hadhi ya kuitwa standa hata kidogo
 
sio stendi wala soko ni mahali pakuuzia sura za wanafunzi kuanzia sekondari mpaka chuo na mashabaro na madadaduu pia zinapatikana inama buotique zakufa mtu...
 
sio stendi wala soko ni mahali pakuuzia sura za wanafunzi kuanzia sekondari mpaka chuo na mashabaro na madadaduu pia zinapatikana inama buotique zakufa mtu...

daa mkuu umenikumbusha.
Mambo ya show room .
Ukifika hapo kuanzia mida ya saa kumi kumi kama upo show room vile kuna totoz wa kilaa aina kila rika.
 
Back
Top Bottom