My friend nakuona hapo kwa dpKwani kupima virusi sh ngapi? Me condomu situmii bora punyeto
Una maana chuo mwaka wa 3?!Hahahaa wakati huo ulikuwa unasoma chekechea
Wanajua kuwa hamna tangazoMods wanajua kuwa umeweka tangazo umu??
Mmmh Acha uongo Mungu Anakuooonaaawengine tuna allergy nazo hizo...
ukivaa dushe la lala haliamki wiki mbili!
A hahaha haha nimecheka sanaata madem wengi hawapendi mipira..na lile li uji lina utam wake ati
Meona eeBonge moja la video track though kabla Bobby hajaanza kula mibangi!
".......I can do it soft or I can do it hard
I can make you scream if you let down your guard my baby
It's not too far from here to extasy
I know you want good lovin
So lay your body next to me...."
Good Enough - Bobby Brown!
Kiru ndoroooboeeSio uchafu mdada, hiv ni wanaume wachache sana ambao tunavyo. Huwa vinakuwa pembeni mwa kichwa cha mshedede. Haviumi wala kutumbuka, viko hivyo hvyo, mimi vyangu niliviona baada ya kupona after kutahiriwa
Una maana ndizi hailiwi na maganda sio? !Pipi hailiwi na maganda bana condom ya nn
Lkn alikufa kwa ngomaaCondom inabana inafanya damu isizunguke dushe inalala.. Naogopa ngoma ila siwez kutumia condom
Siku izi ngoma haiui tenaLkn alikufa kwa ngomaa
Nini inaua?!Siku izi ngoma haiui tena
Homa ya IniNini inaua?!
Ahahahahha nimechekaHoma ya Ini
Hahaha h😀😀haki vile tena
zipoje mkuu?
Condom nzuri sana hizi mkuuRough Rider [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji119][emoji72][emoji322][emoji312][emoji441]
SaanaaaCondom nzuri sana hizi mkuu