Swali: Matumizi ya condom kwako yapoje?

Swali: Matumizi ya condom kwako yapoje?

Read between lines.

Mbali na kuwa tangazo,
Nimeona mstari mmoja tu unaohusu kuzuia kale kaharufu kabaya.

Matumizi ya condom yamegeuka sasa sio yale ya kuzuia STD.

Bali ni kuzuia kaharufu na kuongeza radha ya mapenzi kama inavyopigiwa promo.
 
Old condom?[emoji15]

Dume hapana kwa kweli coz nilishaga wahi kuitumia haina utofauti na condom za MSD

Hata Rough Rider ina viupele upele mkuu
Aisee aya tupe experience ya vipele vipele basi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom