Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
- Thread starter
- #41
Habari ndo iyoRead between lines.
Mbali na kuwa tangazo,
Nimeona mstari mmoja tu unaohusu kuzuia kale kaharufu kabaya.
Matumizi ya condom yamegeuka sasa sio yale ya kuzuia STD.
Bali ni kuzuia kaharufu na kuongeza radha ya mapenzi kama inavyopigiwa promo.
Vepe vipele watumia au