'SWALI' limepata 'JIBU'

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,353
Reaction score
26,194
Pale wapenzi wanapofumaniana au pale mmojawao anapokuwa na hisia za kusalitiwa,msalitiwa humuuliza msaliti:'kwani huyu/yule ana nini ambacho mimi sina?' Ni swali gumu kwa wengi.Wengi hubaki kimya. Lakini rafiki yangu Zengea alilitoa jibu weekend iliyopita.

Ilikuwa hivi,mpenzi wa Zengea alikuwa anahisi anasalitiwa.Akamtafuta Zengea kwa jazba na shauku ya kumuuliza swali tajwa hapo juu.Akatukuta mahali.Hakumkawiza.Akamtwanga swali: 'Kwani yule XY ana nini ambacho mimi sina Zengea?'

Zengea akajibu: 'XY ana utamu wewe huna;kuna lingine?' Yule binti akabaki kimya akililia kwa kwikwi.Wakaachana rasmi
 
Petro E. Mselewa! Jibu haliko wazi;
Ni utamu upi unaozungumziwa;
Ni k#m@ au tiGO?
Ni Maandalizi au Mitombo/Utombanaji;
Ni kusikilizia au Ujinga.
​
Ni utamu gani Bandugu;
Hebu tujuze fasta>


Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Swali bado halina jibu, utamu gan? Wa Yesu kama Rose Mhando au ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…