Swali langu????????????

Swali langu????????????

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
2,655
Reaction score
2,783
12.jpg

13.jpg

wizi.jpg
Vibaka tunawazibiti vizuri,,
kwanini na mafisadi tusiwachukulia hatua kama hizi.
Naamini tungelikomesha hili tatizo.
 
Haya ndio maajabu ya wadanganyika.Vibaka wanapata adhabu ya hapo hapo hata mashitaka hawasomewi.

Fisadis, tunawaita waheshimiwa na "mzee"...hata Polisi wanafanya uchunguzi ambao haukamiliki kwa miaka, mpaka wadanganyika tunasahau au anatokea mkuu wa TAKUKURU anawasafisha.

Wale wa EPA walitufanyia usanii , walitwambia wanawapa muda warudishe "vijisenti"/fedha walizokwapua BoT.

Only in Tanzania.
 
Mkuu Nonda Danganyika pasipokuwa na Ufisadi nchi haiwezi kuendelea kamwe.................
 
Last edited by a moderator:
Inaezekana ila utawafiakiaje, kabla hujafika miguu huna!
 
Back
Top Bottom