Swali la Zanzibar

Swali la Zanzibar

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,926
Hii picha nimeikuta kwenye tovuti za picha mbalimbali.

Haina habari zaidi ya kusema imepigwa Zanzibar 1920.

Kuna mtu anaweza kunielimisha zaidi kuhusu asili au kabila la watu hawa?

Natanguliza Shukurani.

ImageUploadedByJamiiForums1434128190.034758.jpg
 
Ahmed rajabu, mohamed said, jabri idrisa etc wanaweza kuwa na taarifa zinazokaribia ukweli
 
Sina hakika lakini inawezekana kuwa ni Siti bint Saad na kundi lake au dada zake ( sijui pia kama alikua na dada ) ila naona wanafana na pia wakati huo ni mtu kama yeye aliekuwa na ujasiri kama mwanamke muafrika kupiga picha kama hii.
 
Ahsante Mkuu Percival.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom