Kwanini Makao makuu ya dini yapo Ulaya.
katoliki - Italia
Cathodic - Ujeruman.
Angalikan - Uk.
nijuavyo mimi, Yesu aliishi sana maeneo ya IRAQ, SYRIA, ISRAEL na kidogo Egypt.Nchi za ulaya ndio za mwisho kufikia ujumbe wa YESU
Kwanini makao makuu yasingaliuwa maeneo haya.
Hili ni swali naomba njibiwe kwa ustaarabu ili nielewe
samahani. hayo mengine jee? unaweza kujibu japo hayosamahani ndugu katika maisha yangu yote ya Ukristo sijwahi kusikia kitu Cathodic,ni nini hiki...ni dhehebu gani?....ni dini mpya?
nawasilisha
ndipo nabii ibrahim alipojenga alkaaba na ndipo mtume muhammad (s.a.w) aliishihivi kwanini makao makuu ya dini ya kiislamu yapo nchi za kiarabu? Mecca
mwalimu nyerere alipachagua. yesu alichagua ulaya?Mbona makao makuu yapo Dodoma na si Butiama?
We itabidi ukachukue ubwabwa na sio buku 7.
swali la msingi kwanini Makao makuu yapo Ulaya? kwani asili yetu sisi nini? si udongo? udogo nhaupo dunia nzima? hayo mengine yako ni ngojeraMuhammad alifika Tanzania? Yesu alifika Tanzania? Kuna hata nabii mweusi katika dini yeyote ile? Kwanini Mungu hakutaka mtu mweusi hata mmoja tu aeneze dini yake angali mwanzo? Kwanini tunaabudu dini ambazo hazina uhusiano kabisa na asili yetu?
swali la msingi kwanini Makao makuu yapo Ulaya? kwani asili yetu sisi nini? si udongo? udogo nhaupo dunia nzima? hayo mengine yako ni ngojera
swali. kwanini iwe roma na isiew jarusaleem?Uko biased hadi hapo. Vitabu vya dini ndio vinasadiki asili yetu ni udongo na vitabu hivi sio asili yetu vililetwa tu hivyo bado hujajibu swali.
swali la msingi kwanini Makao makuu yapo Ulaya? kwani asili yetu sisi nini? si udongo? udogo nhaupo dunia nzima? hayo mengine yako ni ngojera
Kwa imani ya wakristo(walio wengi sio wote) mzungu pekee ndo mwenye akili ndo maana inakua tabu kumuona PAPA MWEUSI.