Swali la wiki: Ingekuwa wewe ungefanya nini?

Mwambie samia kuwa Joyce Banda alipoapishwa kuwa Rais baada ya kifo cha Mutharika wengi walipata matumaini, lakini alibadilika,alianza kutumia jinsia yake kupata uhalali wa kisiasa, alitesa wapinzani na 2014 akashindwa uchaguzi akakimbia nchi huku waziri wake aliyetumika kuwatesa wapinzani akijiuwa
Salam zimefika
 
Mbona nimejibu!
 
Cha kufanya ni kwanza jamaa amalizie story.

Either tutashuka wote atuhadisie ama tumtonye konda asizi gari mahali ambane tupate ubuyu kamili.

Afu ndo tuvae viatu vya mhusika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom