Swali la wiki: Ingekuwa wewe ungefanya nini?

MILL8

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
1,835
856
Sikuu kadhaa zimepita nilikuwa safarini.nilikuwa ndani ya basi natoka makumbusho naelekea zangu tegeta,katika stori stori Jamaa mmoja akaanza kutusimulia.

Kuna jamaa yake walikuwa marafiki wa mda mrefu,walikuwa wakisaidiana kwenye matatizo walichukuliana kama ndugu yani,rafiki yake huyo alikuwa na mke na watoto,Ila yeye alikuwa hana mke.

Sikuu moja huyu jamaa akapata taarifa ya kifo cha rafiki yake huyo.aliumia sana kumpoteza rafiki yake kpenzi, taratibu za msiba zikafanyika msiba ukaisha.

Maisha yakaendelea kama kawaida tu,jamaa akawa anenda pale kwa marehem rafiki yake kama ndugu wa marehem.watu hawkutia Shaka juu ya hilo.

Siku zikasonga hatimae mwezi ukakatika, taarifa zika zagaa jamaa amerithi mke wa marehem na amehamia hapohapo nyumbani kwa marehem.

Yeye hakujali hilo alijua kapata mke na watoto na Mali alizoacha marehem zitakuwa zake.

Hatimae miezi sita ikamalizika mwanamke kapata ujauzito,dume akajua Mali zinakarbia kuingia mikononi mwake.

Nilikuwa asubuhi na mapema mida ya saa moja alfajiri mlango ukagongwa,(akauliza nani)mlango ukagongwa tena akaamu kwenda kufungua mlango.

Ile anafungua tu mlango na mcho yake ya kutoka usingizini alichokutana nacho(ni rafiki yake yule marehem karudi) wakabaki wanatazana tu..........bahati mbaya jamaa akawa amefika mbezi stori akawa ameikatisha.

Abiria karibia wote tulikuwa tunamsikiliza jamaa huyo,hatukujua nini kilitokea labda kama angemalizia stori yake.

Swali hili najiulza sana ingekuwa ndo mm ningefanya nini rafki yangu kpenz ikali mm nilikuwa nimekufa ndo namkuta nyumbani kwangu ananifungulia mlango. Nitamfanya nn wakati mm nilikuwa mfu ? Nitakuwa na haki na huyo mwanamke hata kama nilifunga nae ndoa.
Jamaa nikimpa kisago akinishtaki kuwa nimemvamia kwenye familia yake nitakuwa na haki?

Kama jamaa keshafunga nae ndoa mm nitakuwa na haki kwa huyo mwanamke kivipi? Na wakati vitabu vya dini vinasema ukisha kufa huyo mkeo anaweza olewa na mwanaume mwingine.

Je huyo mwanamke utamwita shemeji ? VP kuhusu huyo mwanaume utamwambia chukua huyo mkeo utoke nyumbani kwangu?

Utafikilia labda kabla ya kufa kwako walikuwa wanakusaliti baada ya kunogewa na penzi lao wakakuua.

Maswali ni mengi sana hayaishi kila utakacho fikilia hakina mwisho,karibuni jamani kwa mawazo tuweze kulijibu hili swali LA wiki.

AKHSANTE
 
Usingizi wa mchana huwa ni mbaya sana, maana unachanganyikana na maluweluewe ya kufakufa tu, tena mbaya zaidi iwe usingizi ulikupitia wakati haujala, amka ukatafute chakula ule kwanza mdogo wangu
Achana na mambo hayo we tupe Maoni yako ungefanya nn
 
Sikuu kadhaa zimepita nilikuwa safarini.nilikuwa ndani ya basi natoka makumbusho naelekea zangu tegeta,katika stori stori Jamaa mmoja akaanza kutusimulia.

Kuna jamaa yake walikuwa marafiki wa mda mrefu,walikuwa wakisaidiana kwenye matatizo walichukuliana kama ndugu yani,rafiki yake huyo alikuwa na mke na watoto,Ila yeye alikuwa hana mke.

Sikuu moja huyu jamaa akapata taarifa ya kifo cha rafiki yake huyo.aliumia sana kumpoteza rafiki yake kpenzi, taratibu za msiba zikafanyika msiba ukaisha.

Maisha yakaendelea kama kawaida tu,jamaa akawa anenda pale kwa marehem rafiki yake kama ndugu wa marehem.watu hawkutia Shaka juu ya hilo.

Siku zikasonga hatimae mwezi ukakatika, taarifa zika zagaa jamaa amerithi mke wa marehem na amehamia hapohapo nyumbani kwa marehem.

Yeye hakujali hilo alijua kapata mke na watoto na Mali alizoacha marehem zitakuwa zake.

Hatimae miezi sita ikamalizika mwanamke kapata ujauzito,dume akajua Mali zinakarbia kuingia mikononi mwake.

Nilikuwa asubuhi na mapema mida ya saa moja alfajiri mlango ukagongwa,(akauliza nani)mlango ukagongwa tena akaamu kwenda kufungua mlango.

Ile anafungua tu mlango na mcho yake ya kutoka usingizini alichokutana nacho(ni rafiki yake yule marehem karudi) wakabaki wanatazana tu..........bahati mbaya jamaa akawa amefika mbezi stori akawa ameikatisha.

Abiria karibia wote tulikuwa tunamsikiliza jamaa huyo,hatukujua nini kilitokea labda kama angemalizia stori yake.

Swali hili najiulza sana ingekuwa ndo mm ningefanya nini rafki yangu kpenz ikali mm nilikuwa nimekufa ndo namkuta nyumbani kwangu ananifungulia mlango. Nitamfanya nn wakati mm nilikuwa mfu ? Nitakuwa na haki na huyo mwanamke hata kama nilifunga nae ndoa.
Jamaa nikimpa kisago akinishtaki kuwa nimemvamia kwenye familia yake nitakuwa na haki?

Kama jamaa keshafunga nae ndoa mm nitakuwa na haki kwa huyo mwanamke kivipi? Na wakati vitabu vya dini vinasema ukisha kufa huyo mkeo anaweza olewa na mwanaume mwingine.

Je huyo mwanamke utamwita shemeji ? VP kuhusu huyo mwanaume utamwambia chukua huyo mkeo utoke nyumbani kwangu?

Utafikilia labda kabla ya kufa kwako walikuwa wanakusaliti baada ya kunogewa na penzi lao wakakuua.

Maswali ni mengi sana hayaishi kila utakacho fikilia hakina mwisho,karibuni jamani kwa mawazo tuweze kulijibu hili swali LA wiki.

AKHSANTE
Kkkkkkk mambo mengine hata yanachekesha hasa mtu anapouliza jibu akidai umpe jibu badala ya swali. Kwanini mwanangu unataka kufanya ndoto kuwa ukweli na yasiyowezekana kuwezekana? Jamaa aliteremka kabla ya kumaliza stori ili kuwaachie nyie mtumie akili au siyo?
 
Ingependeza zaidi kama ungejibu
 
Sikuu kadhaa zimepita nilikuwa safarini.nilikuwa ndani ya basi natoka makumbusho naelekea zangu tegeta,katika stori stori Jamaa mmoja akaanza kutusimulia.

Kuna jamaa yake walikuwa marafiki wa mda mrefu,walikuwa wakisaidiana kwenye matatizo walichukuliana kama ndugu yani,rafiki yake huyo alikuwa na mke na watoto,Ila yeye alikuwa hana mke.

Sikuu moja huyu jamaa akapata taarifa ya kifo cha rafiki yake huyo.aliumia sana kumpoteza rafiki yake kpenzi, taratibu za msiba zikafanyika msiba ukaisha.

Maisha yakaendelea kama kawaida tu,jamaa akawa anenda pale kwa marehem rafiki yake kama ndugu wa marehem.watu hawkutia Shaka juu ya hilo.

Siku zikasonga hatimae mwezi ukakatika, taarifa zika zagaa jamaa amerithi mke wa marehem na amehamia hapohapo nyumbani kwa marehem.

Yeye hakujali hilo alijua kapata mke na watoto na Mali alizoacha marehem zitakuwa zake.

Hatimae miezi sita ikamalizika mwanamke kapata ujauzito,dume akajua Mali zinakarbia kuingia mikononi mwake.

Nilikuwa asubuhi na mapema mida ya saa moja alfajiri mlango ukagongwa,(akauliza nani)mlango ukagongwa tena akaamu kwenda kufungua mlango.

Ile anafungua tu mlango na mcho yake ya kutoka usingizini alichokutana nacho(ni rafiki yake yule marehem karudi) wakabaki wanatazana tu..........bahati mbaya jamaa akawa amefika mbezi stori akawa ameikatisha.

Abiria karibia wote tulikuwa tunamsikiliza jamaa huyo,hatukujua nini kilitokea labda kama angemalizia stori yake.

Swali hili najiulza sana ingekuwa ndo mm ningefanya nini rafki yangu kpenz ikali mm nilikuwa nimekufa ndo namkuta nyumbani kwangu ananifungulia mlango. Nitamfanya nn wakati mm nilikuwa mfu ? Nitakuwa na haki na huyo mwanamke hata kama nilifunga nae ndoa.
Jamaa nikimpa kisago akinishtaki kuwa nimemvamia kwenye familia yake nitakuwa na haki?

Kama jamaa keshafunga nae ndoa mm nitakuwa na haki kwa huyo mwanamke kivipi? Na wakati vitabu vya dini vinasema ukisha kufa huyo mkeo anaweza olewa na mwanaume mwingine.

Je huyo mwanamke utamwita shemeji ? VP kuhusu huyo mwanaume utamwambia chukua huyo mkeo utoke nyumbani kwangu?

Utafikilia labda kabla ya kufa kwako walikuwa wanakusaliti baada ya kunogewa na penzi lao wakakuua.

Maswali ni mengi sana hayaishi kila utakacho fikilia hakina mwisho,karibuni jamani kwa mawazo tuweze kulijibu hili swali LA wiki.

AKHSANTE
Mwambie samia kuwa Joyce Banda alipoapishwa kuwa Rais baada ya kifo cha Mutharika wengi walipata matumaini, lakini alibadilika,alianza kutumia jinsia yake kupata uhalali wa kisiasa, alitesa wapinzani na 2014 akashindwa uchaguzi akakimbia nchi huku waziri wake aliyetumika kuwatesa wapinzani akijiuwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom