Swali la wanawake wanatoa nini kwenye mahusiano zaidi ya ngono ni la kipuuzi

Hivi mtu mpaka anauliza hili swali huwa anawaza kitu gani haswa?? Yaani umekaa ukafikiria ukaja kuuliza swali ambalo majibu yake unayo

Mwanamke ana mengi ya kutoa kuliko hata wewe mwanaume… kwanza waulizaji wengi humu ni single( hawajaoa).. waliooa wanajua nini wanapata kwa wake zao zaidi ya papuchi…

Kuna mmoja huko kwenye nyuzi kasema kama wanawake wanawapa ushaurii basi hata mbuzi anaweza kutoa ushaurii… kwanini sasa usianzishe mahusiano na mbuzi akupe ushauri ukatafuta mwanamke

Hilo swali limekaa kimtego sana ni kama mnataka na nyie muanze kupewa matumizii muachiwe pesa ya mboga

Kwani ninyi wanaume mnakitu gani cha kuoffer zAidi ya pesaa???

Na Kama ni pesa wapo wanawake wanahonga wanaume sana tu, Je na hao mnataka wawape na kipi zaidi

Msichokijua ni kwamba asilimia 90 ndani ya Ndoa wanawake wanajihudumia wenyewe… wanaume wa siku hizi hawajui wajibu wao… wanaoa wanatelekeza wanawake

Yeye akiacha hela ya mboga ndio kamaliza…. Hajui mkewe anapaka mafuta gani chupi zake zimeishaa au hana nguo na mpaka aambiwe

Hivi unamuoa mtu unajua hana kazi ulitegemea avae kwa hela ganii au matumizi yake madogo madogo…

Hamjiulizi kwanini wanawake wengi siku hzi wanacheza mavikoba mpk kausha damu ili tu waweze kuhudumia familia zao

Kina Zamaradi wanakopa mpk ma benk ili kujihudumia

Sisi wanawake tuna vingi vya kuwaoffer kuliko ninyi wanaume

Hebu nipeni jibu

Wanaume mnanini cha kuoffer kwa mwanamke zaidi ya pesa???
Povu
 
Ukiachana na yooote, hili swala la wao(Wanawake) kutuleta Dunia ni lakuwapa heshima sana...Juzi maeneo ya Mbezi kulikuwa na msiba mama amefariki wakati wa kujifungua.
 
Hivi mtu mpaka anauliza hili swali huwa anawaza kitu gani haswa?? Yaani umekaa ukafikiria ukaja kuuliza swali ambalo majibu yake unayo

Mwanamke ana mengi ya kutoa kuliko hata wewe mwanaume… kwanza waulizaji wengi humu ni single( hawajaoa).. waliooa wanajua nini wanapata kwa wake zao zaidi ya papuchi…

Kuna mmoja huko kwenye nyuzi kasema kama wanawake wanawapa ushaurii basi hata mbuzi anaweza kutoa ushaurii… kwanini sasa usianzishe mahusiano na mbuzi akupe ushauri ukatafuta mwanamke

Hilo swali limekaa kimtego sana ni kama mnataka na nyie muanze kupewa matumizii muachiwe pesa ya mboga

Kwani ninyi wanaume mnakitu gani cha kuoffer zAidi ya pesaa???

Na Kama ni pesa wapo wanawake wanahonga wanaume sana tu, Je na hao mnataka wawape na kipi zaidi

Msichokijua ni kwamba asilimia 90 ndani ya Ndoa wanawake wanajihudumia wenyewe… wanaume wa siku hizi hawajui wajibu wao… wanaoa wanatelekeza wanawake

Yeye akiacha hela ya mboga ndio kamaliza…. Hajui mkewe anapaka mafuta gani chupi zake zimeishaa au hana nguo na mpaka aambiwe

Hivi unamuoa mtu unajua hana kazi ulitegemea avae kwa hela ganii au matumizi yake madogo madogo…

Hamjiulizi kwanini wanawake wengi siku hzi wanacheza mavikoba mpk kausha damu ili tu waweze kuhudumia familia zao

Kina Zamaradi wanakopa mpk ma benk ili kujihudumia

Sisi wanawake tuna vingi vya kuwaoffer kuliko ninyi wanaume

Hebu nipeni jibu

Wanaume mnanini cha kuoffer kwa mwanamke zaidi ya pesa???
wanawake ni hicho tu mnatoa, labda kama ni kwenye ndoa hapo ndio mnaweza kuwa na kitu, ila ninyi mnafakamiana kama kuku, you have nothing to offer zaidi ya sehemu za siri. wakiondoa hizo msingekuwa na lolote.
 
Ndio hela zao ni kama zinawauma wanataka tuzirudishee

Kama wanataka kuhongwa mbona wanawake kibao wanahongaa mpk nyumba

Kina zari, kina Zamaradi kina Diva

Jamani wanawake wanaohonga wapo tuacheni sisi tusio na hela za kuwahonga sio kutuuliza maswali ya kipuuzi hivi
Maisha ya mahusiano ya sasa na ya zamani ni tofauti.
Maisha ya mahusiano ya zamani yalikuwa ni kutegemeana haimanishi mwanamke alikuwa anahudumia familia hapana iko hivi.
Baba ameenda kwenye mihangaiko baba ameacha unga, mama atachuma mrenda atapika. Baba akija atakula ugali na mrenda.
Shambani wote wanajukumu la kwenda kuliangalia, baba asipoenda basi mama ataenda. Pesa ilikuwa ina umuhimu ila siyo kigezo cha baba na mama kudumu kwenye ndoa.
Utakuta mama na yeye, ameanzisha bustani anauza mboga, anasaidia familia kwenye mahitaji madogo madogo ila alikuwa siyo tegemezi. Kama wote ni wafanyakazi wanasaidiana huku wakijua kuwa familia hii ni ya wote tunajukumu la kuitunza. Ndiyo maana mali na pesa ilikuwa siyo kipaumbele kwenye suala la kuingia kwenye ndoa. Hata baba akiyumba kiuchumi, mama anashikilia usukani familia inaenda naye baba anajitafuta. Baba akiumwa, mama atahangaika kutafuta dawa ili baba apone hata kwa mitishamba. Mwanamke alikuwa ni mwanamke kweli.

Kwa kizazi cha sasa, mwanamke amekuwa mbinafsi, roho mbaya, amejaa na tamaa ya mali na pesa. Ukienda kumtongoza anakuangalia mavazi kwanza aone kama una hela, akiona umevaa nguo haeleweki anakuangalia chini mpaka juu. Ukimpeleka unapoishi, mwanamke anataka chips mayai na mishikaki. Kwa mfano akute umepika makande dharau zinakuwa nyingi.
Wanawake wa sasa wanategemea kwa kila kitu yaani hata kama anakazi, hawezi kutoa hela yake kukusaidia hata kama umekwama. Anakuuliza kwani ulinilipia ada wewe?
Umeme ukikatika hata kama mwanamke anahela hawezi kununua umeme, hawezi kukupa mawazo yoyote ya kukujenga. Yupo yupo tu hawezi kukushauri. Imekuwa 50 kwa 50, wanawake wanashindana na wanaume. Ukicheat naye anacheat.
Sasa hivi kama hauna hela haupendwi na mwanamke. Pesa imekuwa kipaumbele kwa kila kitu kwenye mahusiano. Upo naye kwenye mahusiano, akikuomba hela ukimwambia hauna basi ananuna.
 
Haya maneno yako mamamzungu yana ukwel flan sema tu inategemeana sana na mazingira.
Wanaume na wanawake wote kwa pamoja wamekua compromised sana when it comes to affairs now days .Kila mtu ana bitterness towards mwenzie.Watu tunaishi kwa kuviziana sana .ule upendo wa dhat kabisa ulipotea ndio maana kutwa kujilinganisha ..huyu anatoa nini au huy ana offer nin zaid..unneccesary stuffs
 
Wakati wa kuchumbiana kabla ya ndoa kiukweli wanawake hawanaga Cha ku- offer kwenye r/ ship zaidi ya ngono.Huu Ni ukweli usiopingika hata wenyewe wanajua.

Huko kwenye ndoa mambo Ni tofauti kdgo.
 
Hivi mtu mpaka anauliza hili swali huwa anawaza kitu gani haswa?? Yaani umekaa ukafikiria ukaja kuuliza swali ambalo majibu yake unayo

Mwanamke ana mengi ya kutoa kuliko hata wewe mwanaume… kwanza waulizaji wengi humu ni single( hawajaoa).. waliooa wanajua nini wanapata kwa wake zao zaidi ya papuchi…

Kuna mmoja huko kwenye nyuzi kasema kama wanawake wanawapa ushaurii basi hata mbuzi anaweza kutoa ushaurii… kwanini sasa usianzishe mahusiano na mbuzi akupe ushauri ukatafuta mwanamke

Hilo swali limekaa kimtego sana ni kama mnataka na nyie muanze kupewa matumizii muachiwe pesa ya mboga

Kwani ninyi wanaume mnakitu gani cha kuoffer zAidi ya pesaa???

Na Kama ni pesa wapo wanawake wanahonga wanaume sana tu, Je na hao mnataka wawape na kipi zaidi

Msichokijua ni kwamba asilimia 90 ndani ya Ndoa wanawake wanajihudumia wenyewe… wanaume wa siku hizi hawajui wajibu wao… wanaoa wanatelekeza wanawake

Yeye akiacha hela ya mboga ndio kamaliza…. Hajui mkewe anapaka mafuta gani chupi zake zimeishaa au hana nguo na mpaka aambiwe

Hivi unamuoa mtu unajua hana kazi ulitegemea avae kwa hela ganii au matumizi yake madogo madogo…

Hamjiulizi kwanini wanawake wengi siku hzi wanacheza mavikoba mpk kausha damu ili tu waweze kuhudumia familia zao

Kina Zamaradi wanakopa mpk ma benk ili kujihudumia

Sisi wanawake tuna vingi vya kuwaoffer kuliko ninyi wanaume

Hebu nipeni jibu

Wanaume mnanini cha kuoffer kwa mwanamke zaidi ya pesa???
Mwanamke ni chombo Cha starehe.
 
Maisha ya mahusiano ya sasa na ya zamani ni tofauti.
Maisha ya mahusiano ya zamani yalikuwa ni kutegemeana haimanishi mwanamke alikuwa anahudumia familia hapana iko hivi.
Baba ameenda kwenye mihangaiko baba ameacha unga, mama atachuma mrenda atapika. Baba akija atakula ugali na mrenda.
Shambani wote wanajukumu la kwenda kuliangalia, baba asipoenda basi mama ataenda. Pesa ilikuwa ina umuhimu ila siyo kigezo cha baba na mama kudumu kwenye ndoa.
Utakuta mama na yeye, ameanzisha bustani anauza mboga, anasaidia familia kwenye mahitaji madogo madogo ila alikuwa siyo tegemezi. Kama wote ni wafanyakazi wanasaidiana huku wakijua kuwa familia hii ni ya wote tunajukumu la kuitunza. Ndiyo maana mali na pesa ilikuwa siyo kipaumbele kwenye suala la kuingia kwenye ndoa. Hata baba akiyumba kiuchumi, mama anashikilia usukani familia inaenda naye baba anajitafuta. Baba akiumwa, mama atahangaika kutafuta dawa ili baba apone hata kwa mitishamba. Mwanamke alikuwa ni mwanamke kweli.

Kwa kizazi cha sasa, mwanamke amekuwa mbinafsi, roho mbaya, amejaa na tamaa ya mali na pesa. Ukienda kumtongoza anakuangalia mavazi kwanza aone kama una hela, akiona umevaa nguo haeleweki anakuangalia chini mpaka juu. Ukimpeleka unapoishi, mwanamke anataka chips mayai na mishikaki. Kwa mfano akute umepika makande dharau zinakuwa nyingi.
Wanawake wa sasa wanategemea kwa kila kitu yaani hata kama anakazi, hawezi kutoa hela yake kukusaidia hata kama umekwama. Anakuuliza kwani ulinilipia ada wewe?
Umeme ukikatika hata kama mwanamke anahela hawezi kununua umeme, hawezi kukupa mawazo yoyote ya kukujenga. Yupo yupo tu hawezi kukushauri. Imekuwa 50 kwa 50, wanawake wanashindana na wanaume. Ukicheat naye anacheat.
Sasa hivi kama hauna hela haupendwi na mwanamke. Pesa imekuwa kipaumbele kwa kila kitu kwenye mahusiano. Upo naye kwenye mahusiano, akikuomba hela ukimwambia hauna basi ananuna.

Umenena vyema mkuu

Hawa wanawake bana,zaid ya sex kufua kupika kutuzalia wanatakiwa kuadd value kwnye maisha yetu…hizo sex znapatkana popote

Mm bana galfrend wangu nmemuomba vocha ya jero hii n wiki ya pili,kila mara nkiongea nae namtania mbna hutumi ile vocha ila hashtuki hajiongez anajichekesha…kumbe mm nafanya vipimo vyangu

Siku nyngne nkamwambia sina lesso naomba uninunulie ukiziona huko,na anaona kabisa nna lesso3 had na leo kimya

Huwa namhudumia na kumsaidia mambo yake,na sio kuwa sina hela ya kununua leso ya 1000 n vile wakat mwngne tunapima hawa watu kama wana ule moyo wa kubring back.

Hiki n kizaz cha hovyo,mambo yanachanganyana….stay tu pale aman ya moyo wako inapokuwepo
 
Tunaishi kwenye ulimwengu mgumu sana wa wanawake kuwa wabinafsi sana.
Mimi huwa nampima mwanamke kwa staili hiyo, ukiona mwanamke anakupa ujue hata ukipata tatizo atakusaidia. Tofauti na hapo, siku ukipata na matatizo kama kuumwa, biashara kuyumba au kufukuzwa kazi atakukimbia.
 
Wanawake wana akili, wana kichwa cha chini na kichwa cha Juu.
Akitumia kichwa cha chini, hutakuwa na Muda wa kufikiri bali kila kitu utakuwa unasema Ndio Ndio ndio
 
Hivi mtu mpaka anauliza hili swali huwa anawaza kitu gani haswa?? Yaani umekaa ukafikiria ukaja kuuliza swali ambalo majibu yake unayo

Mwanamke ana mengi ya kutoa kuliko hata wewe mwanaume… kwanza waulizaji wengi humu ni single( hawajaoa).. waliooa wanajua nini wanapata kwa wake zao zaidi ya papuchi…

Kuna mmoja huko kwenye nyuzi kasema kama wanawake wanawapa ushaurii basi hata mbuzi anaweza kutoa ushaurii… kwanini sasa usianzishe mahusiano na mbuzi akupe ushauri ukatafuta mwanamke

Hilo swali limekaa kimtego sana ni kama mnataka na nyie muanze kupewa matumizii muachiwe pesa ya mboga

Kwani ninyi wanaume mnakitu gani cha kuoffer zAidi ya pesaa???

Na Kama ni pesa wapo wanawake wanahonga wanaume sana tu, Je na hao mnataka wawape na kipi zaidi

Msichokijua ni kwamba asilimia 90 ndani ya Ndoa wanawake wanajihudumia wenyewe… wanaume wa siku hizi hawajui wajibu wao… wanaoa wanatelekeza wanawake

Yeye akiacha hela ya mboga ndio kamaliza…. Hajui mkewe anapaka mafuta gani chupi zake zimeishaa au hana nguo na mpaka aambiwe

Hivi unamuoa mtu unajua hana kazi ulitegemea avae kwa hela ganii au matumizi yake madogo madogo…

Hamjiulizi kwanini wanawake wengi siku hzi wanacheza mavikoba mpk kausha damu ili tu waweze kuhudumia familia zao

Kina Zamaradi wanakopa mpk ma benk ili kujihudumia

Sisi wanawake tuna vingi vya kuwaoffer kuliko ninyi wanaume

Hebu nipeni jibu

Wanaume mnanini cha kuoffer kwa mwanamke zaidi ya pesa???
Swali ni mwanamke anatoa Nini?
 
Most times hua nikisoma comments humu naamini 95% ya watu wanaotoa controversial ideas, wao hawa practice what they say. Possibility n kubwa wengi wa "kataa ndoa" wameoa au wana wapenzi but wako na frustrations mob humo ndani ya mahusiano yao.

Iko wazi kuwa in this life, a woman is not all about sex. Wanawake wana mchango mwingi sana but shida n kwamba tunafanya quantification kwenye material things kama hela n.k.
Personaly sikubaliani na kukataa ndoa maana najua kbsa gap ambayo mwanamke wangu anacover kwenye life yangu.

Chimbuko la hili tatizo ni wanaume wengi kukosa msingi wa kiume kwaio wanakua kama wavulana. Hawajui majukumu yao n.k.

Kama mwanaume, kumhudumia mkeo na familia ni kitu cha ufahari na sio suala la kulia lia na kulalamika.
Its jus that un-matured boys, wanakutana na un-matured girls wanaishia kuleta maneno ya kudang dang kama kangaroo.

Swali kubwa la kujiuliza n kwamba, hao wanao support kukataa ndoa, mara kupiga na kuacha e.tc, wanapozaa watoto wa kike, what future do they expect watoto wao wapate?

NA wengi wao n vijana wadogo wa early 20s ambao bado hawajui maisha. Wengi wao ni KKB(KUla, kulala, kunya bure)
Na wote tuseme ameen na uzi ufungwe.
 
Back
Top Bottom