ingeweza kushughulikia mambo hayo yote ungeiunga mkono na kuikubali? Vipi kama ikianza kufanya hivyo sasa?

Swali hili ni kwa wale ambao katika fikra zao na mioyo yao wameamua kuikataa CCM. Wameamua kutokujiunganisha wala kujiambatanisha na chama tawala. Kwa hawa CCM ni kinyume nao. Napenda kujua hasa wale wanaoikataa CCM wanaikataa kwa sababu gani hasa? Maana wengine wanaikataa CCM kwa kadiri ya kwamba wako nje lakini wakiingia ndani au wakionjweshwa vya ndani wanakuwa wa kwanza kuitetea. Inawezekana wanaoikataa CCM hawaikatai kwa sababu moja ya msingi isipokuwa sababu nyingi za binafsi?
Je wewe unaikataa CCM? umewahi kujiuliza ni kwanini?

Masalia at work....toka mmesambaratishwa na Ben saanane sasa naona wote mmeamua kuwa watetezi wa ccmWanaoikataa CCM wanasaidia maendeleo ya nchii hii kwa kuwasaidia CCM kujirekebisha.
Mambo yakiendelea hivi, baada ya miaka kadhaa wote tutakuwa tunaimba CCM kama enzi zileeee tulizokuwa tukiimba mashuleni