Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,197
- 25,517
Sikuwa najua hilo MkuuMkuu nijuavyo Naibu Waziri na KM wote waliomba kujihuzuru na wakakubaliwa wote. Hivyo Wizara kwa sasa haina Naibu Waziri!
Tatizo la waandishi wa habari wa nchi hii hawawezi kuandika habari kwa upana wake!Sikuwa najua hilo Mkuu
Tutashuhudoa mengi kuelekea uchaguzi mkuuUkitazama kutenguliwa kwa Waziri na Kamishna Jenerali wa Zimamoto pamoja na kujiuzulu kwa Katibu Mkuu, ni kama uongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani umewajibishwa.
Naibu Waziri Masauni hakuhusika popote na kwa vyovyote na wala kuwajibika kwa hilo? Amebaki vipi ikiwa sakata ni la kiwizara?
😃 😃 aiseeMkuu nijuavyo Naibu Waziri na KM wote waliomba kujihuzuru na wakakubaliwa wote. Hivyo Wizara kwa sasa haina Naibu Waziri!
Hebu peleka mauongo yako kule ! Toa ushahidi! Rais alitamka hayo ?Mkuu nijuavyo Naibu Waziri na KM wote waliomba kujihuzuru na wakakubaliwa wote. Hivyo Wizara kwa sasa haina Naibu Waziri!
Mkuu hujui kitu nyamaza tu! Ukweli ni upi?Hebu peleka mauongo yako kule ! Toa ushahidi! Rais alitamka hayo ?
Du wewe ni kweli mjuaji,!Mkuu hujui kitu nyamaza tu!
Ukiweza kunuonyesha sentence japo moja kutoka kwenye media inayomlaumu Mama Samia Suluhu kuhusu uongozi wa awamu ya 5 nitakutajia sababu lukuki kuhusu ni kwanini manaibu mawaziri ni nadra sanaUkitazama kutenguliwa kwa Waziri na Kamishna Jenerali wa Zimamoto pamoja na kujiuzulu kwa Katibu Mkuu, ni kama uongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani umewajibishwa.
Naibu Waziri Masauni hakuhusika popote na kwa vyovyote na wala kuwajibika kwa hilo? Amebaki vipi ikiwa sakata ni la kiwizara?
Kwanza tutajuaje ukweli wa allegations zenyewe?Ukitazama kutenguliwa kwa Waziri na Kamishna Jenerali wa Zimamoto pamoja na kujiuzulu kwa Katibu Mkuu, ni kama uongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani umewajibishwa.ka
Naibu Waziri Masauni hakuhusika popote na kwa vyovyote na wala kuwajibika kwa hilo? Amebaki vipi ikiwa sakata ni la kiwizara?
Kwa hili la NW Mambo ya Ndani kuwa nae kawajibishwa/kawajibika katika hili sakata la majuzi hata Mimi silijui..Mkuu hujui kitu nyamaza tu! Ukweli ni upi?
Ukitazama kutenguliwa kwa Waziri na Kamishna Jenerali wa Zimamoto pamoja na kujiuzulu kwa Katibu Mkuu, ni kama uongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani umewajibishwa.
Naibu Waziri Masauni hakuhusika popote na kwa vyovyote na wala kuwajibika kwa hilo? Amebaki vipi ikiwa sakata ni la kiwizara?
Hivi mtu akiwa mnyetishaji hapaswi kupewa uwaziri kamili ?Huyu waziri alibaki hata wakati wa Mwigulu sababu ni kwamba ni usalama na yeye ndiye mtoa siri zote hawezi kufukuzwa.